Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
warumi wazazi wamekubali kijana wao amuoe shilole
sema swala la kuchora tattoo ya jina la shilole isiyofutika
ndio hawajapenda
Nimemsikia baba yake nuhu mziwanda jana akizungumza kuhusu tattoo, halafu hao wazazi wao watakuwa wamepagawa na lexus ya shilole hawana lolote, we mzazi umkubali mwanamke kama shilole unajitaka kweli?
Haya tunawatakia kila la kher, ndo tunasubiria sasa hiyo ndoa maana sio wanapiga kelele tu kwenye mitandao
haaaa kijana wao hadi mahari analipiwa
wasianze tu baadae kulalamika kua aliolewa na marioo
Usikute wamepanga dili mtu na baba yake wamchune shilole, maana wazazi wa siku izi kwa pesa ata upeleke mwanamke ana sura ka kwapa la mbuta nanga kama pesa ipo wazazi wanamkubali, maana shilole nae anavijisent kwa kweli na ana ngozi na rangi nzur bas akikaa kwenye harrier lexus yake utasema mwanamke si ndo huyu
Ngoja tuone movie inavyochezwa, mahali si ndo watatoa elfu 50 maana shilole ni used haswaa plus watoto wawil mbona kazi nuhu anayo
Amechukua gume gume la mjinii hivi huyu kaimba nyimbo gani vilee
Hi Dinazarde ndio nimeona leo muito wako , bahati mbaya mmefunga maana ningetiririka kweli kweli , by the way karibu kule kwetu tunaendelea kuchamba mmoja baada ya mwingine , si Wametuanza !! hahahah Mkatuprint bado yule aliyebakwa na Muheshimiwa zamu yake yaja ! hahahahhaha Karibu sana ututembelee
shilole malaya sana dogo kabugi,anafikia steji anajiuza kabisa achlia mbali kashakua mtumba baada ya kuzalishwa na njemba flani,dogo ni handsome boy atafute size yake[/QU
bila shaka hii ndo hoja ya ndugu na wazee wa kijana....hilo swala la umri ni preliminary.
Wapi uko na mimi nije
hahaa maelekezo marefu ila unaingia website inaitwa gravatar huko ndio unakorejista user name nilishasahau procedure zake...Duh!! Mmeanzisha timbwil la haja nn?, ivi unajiungaje kule? Nataka nikajiunge kwa jina hili hili la warumi ili niwez kuchangia
Hi Dinazarde ndio nimeona leo muito wako , bahati mbaya mmefunga maana ningetiririka kweli kweli , by the way karibu kule kwetu tunaendelea kuchamba mmoja baada ya mwingine , si Wametuanza !! hahahah Mkatuprint bado yule aliyebakwa na Muheshimiwa zamu yake yaja ! hahahahhaha Karibu sana ututembelee
Duh!! Mmeanzisha timbwil la haja nn?, ivi unajiungaje kule? Nataka nikajiunge kwa jina hili hili la warumi ili niwez kuchangia
Nimeona ka post picha za uchi za chagga barbie insta