Shilole kukataliwa ukweni

Shilole kukataliwa ukweni

warumi wazazi wamekubali kijana wao amuoe shilole

sema swala la kuchora tattoo ya jina la shilole isiyofutika

ndio hawajapenda
 
Last edited by a moderator:

Nimemsikia baba yake nuhu mziwanda jana akizungumza kuhusu tattoo, halafu hao wazazi wao watakuwa wamepagawa na lexus ya shilole hawana lolote, we mzazi umkubali mwanamke kama shilole unajitaka kweli?

Haya tunawatakia kila la kher, ndo tunasubiria sasa hiyo ndoa maana sio wanapiga kelele tu kwenye mitandao
 
haaaa kijana wao hadi mahari analipiwa

wasianze tu baadae kulalamika kua aliolewa na marioo
 
Mwacheni shilole atumie kigegedeo chake maana kitasinyaa baada ya mda na hamna atakaekitaka,maaana kwa wiki wanaopita hapo ni sawa na abiria wanaoingia stendi ya Ubungo
 
haaaa kijana wao hadi mahari analipiwa

wasianze tu baadae kulalamika kua aliolewa na marioo

Usikute wamepanga dili mtu na baba yake wamchune shilole, maana wazazi wa siku izi kwa pesa ata upeleke mwanamke ana sura ka kwapa la mbuta nanga kama pesa ipo wazazi wanamkubali, maana shilole nae anavijisent kwa kweli na ana ngozi na rangi nzur bas akikaa kwenye harrier lexus yake utasema mwanamke si ndo huyu

Ngoja tuone movie inavyochezwa, mahali si ndo watatoa elfu 50 maana shilole ni used haswaa plus watoto wawil mbona kazi nuhu anayo
 
Haaaaaaaaaaaaaa makubwa mahali elfu 50.
 
Amechukua gume gume la mjinii hivi huyu kaimba nyimbo gani vilee

Hi Dinazarde ndio nimeona leo muito wako , bahati mbaya mmefunga maana ningetiririka kweli kweli , by the way karibu kule kwetu tunaendelea kuchamba mmoja baada ya mwingine , si Wametuanza !! hahahah Mkatuprint bado yule aliyebakwa na Muheshimiwa zamu yake yaja ! hahahahhaha Karibu sana ututembelee
 
Mie mwenyewe hata nikikuzidi miaka miwili nakimbia sembuse unizidi
 
Hi Dinazarde ndio nimeona leo muito wako , bahati mbaya mmefunga maana ningetiririka kweli kweli , by the way karibu kule kwetu tunaendelea kuchamba mmoja baada ya mwingine , si Wametuanza !! hahahah Mkatuprint bado yule aliyebakwa na Muheshimiwa zamu yake yaja ! hahahahhaha Karibu sana ututembelee

Wapi uko na mimi nije
 
shilole malaya sana dogo kabugi,anafikia steji anajiuza kabisa achlia mbali kashakua mtumba baada ya kuzalishwa na njemba flani,dogo ni handsome boy atafute size yake[/QU

bila shaka hii ndo hoja ya ndugu na wazee wa kijana....hilo swala la umri ni preliminary.
 
Mzazi makini hawezi kukubali mtoto wake amuoe shilole
 
mange kimambi

mrembo by nature na wenzake akina sie tumetajwa...

Duh!! Mmeanzisha timbwil la haja nn?, ivi unajiungaje kule? Nataka nikajiunge kwa jina hili hili la warumi ili niwez kuchangia
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Mmeanzisha timbwil la haja nn?, ivi unajiungaje kule? Nataka nikajiunge kwa jina hili hili la warumi ili niwez kuchangia
hahaa maelekezo marefu ila unaingia website inaitwa gravatar huko ndio unakorejista user name nilishasahau procedure zake...

wala zaidi Watu. wanamshushua tu... kwa upuuzi anaofanya
 
Nimeona ka post picha za uchi za chagga barbie insta
 
Hi Dinazarde ndio nimeona leo muito wako , bahati mbaya mmefunga maana ningetiririka kweli kweli , by the way karibu kule kwetu tunaendelea kuchamba mmoja baada ya mwingine , si Wametuanza !! hahahah Mkatuprint bado yule aliyebakwa na Muheshimiwa zamu yake yaja ! hahahahhaha Karibu sana ututembelee

Oyaa kama mnalipwa na muke ya muzungu naomba nijee niwasaidiee, kama bure tu bora huo muda nimzungushie kiuno mme wangu nimpe rahaa,naona mmekazana kweliiii, halaf pia mnajichamba nyie kwa nyiee hahhhhhaaa
 
Duh!! Mmeanzisha timbwil la haja nn?, ivi unajiungaje kule? Nataka nikajiunge kwa jina hili hili la warumi ili niwez kuchangia

Wao waje tu huku sie huko hatuendii, halaf wanajichamba wao tenaaa,nasikia nguo kumbe hua anatolea china anawadanganyaa kua ni za marekanii looo ndio maana hua zinakaa muda mrefuuuu
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio umri,tatizo ni jinsi jamii inavomchukulia Shilole.
 
Back
Top Bottom