Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

Yani siasa za nchi zikiwa za kimalaya Malaya na nchi ikigeuzwa ya Malaya lazima hayo yatokee na wapumbavu,wanaona ni sawa.
mjuba umeambiwa ccm inapendwa na wengi na ina makundi yote ya watia nia na ni rukhsa kuomba kuchaguliwa
 
Wajuba tumeambiwa ccm inapendwa na wengi na ina makundi mengi yaliyotia nia kuomba kuchaguliwa. Sasa shilole katokea kundi gani, la mama lishe, muziki au bongo muvi?
 
Mbona sijaona bodaboda aliyetia nia na jina lake kupeta hatua ya pili? Mlioko huko majimboni mtujuze kama kuna bodaboda aliyechukua fomu kuomba kuchaguliwa, maana tumeambiwa ccm inapendwa na makundi mengi wakiwemo mama lishe na bodaboda
 
Sasa kama tumeambiwa ccm inapendwa na makundi mengi na ndio maana waliotia nia walikuwa wengi, makundi yametajwa kama mama lishe, bodaboda, vipi makahaba, madadapoa na machangudoa nao walitia nia? Ukweli wapo jumuiya zote za vijana, wanawake, wazazi, wasomi, je nao walichukua fomu? Japo hawawakilishi shughuli zao hizo ila wapo kama wanachama wao
 
Maelezo haya yanatakiwa viambatishi vya ziada kuyaweka sawa kimantiki.

Vinginevyo ni udini na unyanyapaa vinakubungua!

Dunia ya wastaarabu hauwezi zungumzia biashara ya mtu ukaihusisha na imani za dini.

Mimi ni hater wa Ccm, lakini siwezi anza chukia watu na kuleta udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…