residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Hayo makundi wamo wengi walichukua form pia, lakini officially hawatambuliki, ila wapo 50% ndani ya CCM, hivyo automatically wamo wengi tu.Sasa kama tumeambiwa ccm inapendwa na makundi mengi na ndio maana waliotia nia walikuwa wengi, makundi yametajwa kama mama lishe, bodaboda, vipi makahaba, madadapoa na machangudoa nao walitia nia? Ukweli wapo jumuiya zote za vijana, wanawake, wazazi, wasomi, je nao walichukua fomu? Japo hawawakilishi shughuli zao hizo ila wapo kama wanachama wao
Evelyn Salt ni mbunge wa viti maalum...Huyo ndio Shilole kwani!!??
ukweli wapo wamejichomeka kwenye jumuiya zote na ni makada kindakindakiHayo makundi wamo wengi walichukua form pia, lakini officially hawatambuliki, ila wapo 50% ndani ya CCM, hivyo automatically wamo wengi tu.
Hadi sasa mkeka unapumua 😁Evelyn Salt ni mbunge wa viti maalum...
Usisahau na hijab...Hadi sasa mkeka unapumua 😁
Nshaanza kununua suti
Munde vipi naye kachinjwa?Hajapita huko Tabora.. washindi na majina mawili yaliyopita ni Aziza na Mndeme
Mnooo.Mwijaku apewe uwaziri wa elimu.. Hii nchi imejaa vilaza sana