Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Ila nasikia Fundi sana huyu awepo 6 kwa 6... Ana uhamisha tu
Ni haki yake kabisa kujisifia kwakuwa ukisubiri kusifiwa unaweza kuangukia pua! Lakini tuje kwenye uhalisia sasa je anachokiongea kina ukweli?
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.
“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
Mara ya kwanza kumuona Kidoti face to face nilichoka sana,mademu wa uswahilini wengi wazuri kuliko hawa mastaa wa kibongo bongo sema wao wanakosa matunzo na exposure.Hawa waone kwenye TV na picha za kuedit mkuu, ukiwaona macho kwa macho utashangaa.
HICHO KICHWA ETI HAKINA MAKE-UP, ORIGINAL KWELI HICHO? DOMO VP MBONA KAMA YULE MNYAMA WA PORINI
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.
“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
Kanavyojishebedua utafikiri bado hajazaaHii nchi ninawalubali saana....hiyo picha ya kwanza ndo inamwonyesha kwa sasa yeye ni team kipodozi.