Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Endelea kucheza uchi uchi usifiwe wewe sio mrembo watu wanapenda kukuona ukicheza uchiuchi ...fainali uzeeni
 
Shilole-2.jpg

Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.

“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
Ni haki yake kabisa kujisifia kwakuwa ukisubiri kusifiwa unaweza kuangukia pua! Lakini tuje kwenye uhalisia sasa je anachokiongea kina ukweli?
 
Hawa waone kwenye TV na picha za kuedit mkuu, ukiwaona macho kwa macho utashangaa.
Mara ya kwanza kumuona Kidoti face to face nilichoka sana,mademu wa uswahilini wengi wazuri kuliko hawa mastaa wa kibongo bongo sema wao wanakosa matunzo na exposure.
 
Kidoti taa za camera na make up zinaMbeba. Ukichanganya na viatu virefu. Huyo shish siku nikimuona naweza kuyeyuka mazima
 
Shilole-2.jpg

Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.

“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.
HICHO KICHWA ETI HAKINA MAKE-UP, ORIGINAL KWELI HICHO? DOMO VP MBONA KAMA YULE MNYAMA WA PORINI
 
Dah... watu mna majungu jmn.. shishibebi angeona hizo comment.. hakika angestaafu mziki.

Anyway.. shishi hamna cha uzuri wowote wala nn... makeup zinasaidia. Make up zinaficha mengi jmn
 
Back
Top Bottom