Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Attachments

  • 1462634121013.jpg
    1462634121013.jpg
    33.7 KB · Views: 93
Hivi yule giddy ni mchaga? Kilichombeba ni umri, sio tako, akifika 30s lile tako litanyauka, maana anaonekana kama wale wachaga fulani.
Mkuu kuna watu wanazeeka na matako yao ujue
 
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.

“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

kasema "hakuna msanii mzuri kama yeye" au kasema "yeye ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha"? naona umemsingizia hapo.
 
Umemalizaaaa mkuu yaani umeslay!
Shishi mzuri sawa ila kuna wazuri zaidi yake. Tena kama kwa Meninah na Malaika ndo hanusi kabisa!
lakn mwandishi kapotosha alichosema shilole ni kuwa yeye ni mwanamke mzuri hakuna anayebisha,hajasema yeye ni mwanamke mzuri kuliko wote katka industry yote ya muzik wa bongo flava.
 
Nawajua mademu kumi mtaani kwetu wazuri kuliko huyu pimbi ajuza
 
Hizo nyweze ni za asili..? Huo mdomo je mbona umeeiditiwa...
 
Shilole-2.jpg

Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.

“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

Katika hatua nyingine Shilole amekanusha kutoka kimapenzi na msanii Nedy Music, baada ya kuzagaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha wakiwa karibu zaidi na msahii huyo.

jamani shilole kapendeza sana na huto tu chuchu saa sita kama vile Nick minaji au Jeiloo .....Hongera bi I love is my country
 
Sioni tatizo kwa kuwa ni yeye mwenyewe kajisemea,ni vizuri kujikubali mwenyewe kabla wengine hawajakukubali
 
Back
Top Bottom