Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mjasiriamali na Msanii wa muziki nchini Zuwena Mohamed Yusuph maarufu Shilole akijinadi na kuomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa (UWT) mkoa wa Tabora wampitishe kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoa wa Tabora.
Zuwena Mohamed Yusuph jina lake limepitishwa baada ya mchakato wa uteuzi uliofanywa na kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM na kutangazwa na Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla.
Zuwena Mohamed Yusuph jina lake limepitishwa baada ya mchakato wa uteuzi uliofanywa na kamati kuu ya chama cha mapinduzi CCM na kutangazwa na Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla.