Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Noma sana ila mimi sijaji sana million 18×12 = ? Jibu lake Piga x5 hapo hujagusa posho hujagusa hela za kamati mbalimbali unazokuwepo hujagusa... oya kuna watu wanakula maisha ndio maana wanapambania kuingia kule wakakunje vibundaSiku hizi ni ngumu sana kumshawishi mtoto asome sababu watu wajinga ndio wanaongoza nchi
Ndiyo maana watia nia wengi wako tayari hata kuua opponents wao!Noma sana ila mimi sijaji sana million 18×12 = ? Jibu lake Piga x5 hapo hujagusa posho hujagusa hela za kamati mbalimbali unazokuwepo hujagusa... oya kuna watu wanakula maisha ndio maana wanapambania kuingia kule wakakunje vibunda
Inachekesha sana na kuhuzunisha and sadly anaingilia bungeni kwa viroja hivo.So ana maanisha atakua leader only for mama lishe... wengine hapana
Je mkoa wa tabora ....wapo mamalishe tu[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app