ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Binamu unanivunja mbavu aiseee,mbona mi najua umbea wako ni wa mastaa tu hadi nyumbanii basi we kibokoo,binamu mbona ulisema unaishi mbezi karibu na kina Mange ndio kwenu
Huyo mzee mwenye nyumba akikusumbua mwambie hivi" unamjua Dinazarde" hatakusumbuaaa,kwani binamu umbea ulijifunzia wapii

kule mbezi beach kwa kina mange nilifikuzwa, wazee walilalamikiwa sana na majiran kuwa nimezid umbea wakaenda had serikal za mitaa nikahama binamu, sasa ivi tumepangisha maana nilikuwa nakaa mm na mtoto wa mama angu mdog
Isije ukawa wa kurithi. Si unajua vya kurithi vinazidi.
Mmmh binamu unachangamsha tu ili nichekee tu,,si bora urudi nyumbanii ,,lakini si na kazi unafanya muda wa kushinda nyumbani unautoa wapii ,na demu wako jee yupo wapiii
mimi nilioaa kabisa , wife akaenda kujifungua kwao mpaka leo hajarud na simu haipatikan
mimi nilioaa kabisa , wife akaenda kujifungua kwao mpaka leo hajarud na simu haipatikan
Kwamba sijaoa au nn?
Mimi mwenyew nimeshukur kanipunguzia mzigo, mtoto akikua ndo ntaenda kufanya timbwil
Mkeo akukimbie hivi hivi au alikuchoka na umbea wako.Inaonekana hadi yeye ulikuwa unamfanyia umbea usikute.
Papuchi zinapata tabu jaman!!!!
Mkeo akukimbie hivi hivi au alikuchoka na umbea wako.Inaonekana hadi yeye ulikuwa unamfanyia umbea usikute.
No, unajua ipo eeh?? Mtu kama dizain za kina warumi obviously lazima apate wanawake wa aina yake, ni vigumu sana huyu warumi kuishi na mwanamke kama vanesa mdee au jokate, lazima atapata wale wanawake wa aina yake kama huyo warumi, kuna sample za mademu wao kwao wanaume wanao entertain gossips au kuwa na maneno mengi kama warumi (sio mimi) hawawez kuishi nao kabisa wala kuendana.
Mimi kiuhalisia ni mpole sana, sina maneno na ni vigumu kuzoeleka na watu ovyo, halafu ni mtu wa aibu sana, haya mambo ya kina warumi ni life experience tu na vitu ambavyo vipo kwenye jamii yetu so ninajaribu kuwa portray watu wa dizain hiyo ila mimi mwenyew sihusiki kabisa na maisha ya warumi na wala simjui, hahaha ahahaha