Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa Mduara , Zuwena Mohamed ' Shilole' amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa , Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ' sita kwa sita.

Japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau mwili wake. Akizungumza na gazeti hili bila kung' ata maneno, Shilole alisema wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo kubwa lakini akawa hayajui mapenzi lakini mwenye umbo dogo kama Nuh, akawa ni bingwa wa mapenzi.

Akiendelea kumwaga data mbele ya kinasa sauti cha Amani, msanii huyo anayetamba na wimbo wa Nakomaa na Jiji alisema kuwa katika mapenzi, umri wala ukubwa wa umbo hauna maana yoyote.

Yaani kwa kweli Nuh ananimudu na tunaenda sawa katika suala zima la mapenzi, kwa hiyo sioni udogo wake kwangu, kwa upande wangu Nuh ni mkubwa sana watu wasiangalie mwili, alisema Shilole pasipo kutaja umri wa mpenzi wake huyo.

Shilole aliongeza kuwa , kutokana na mahaba ya nguvu anayoyapata kutoka kwa mpenzi wake huyo , anapata nguvu ya kufanya kazi vizuri siku hadi siku hivyo hapati tamaa . Sina stress za mapenzi na mara nyingi nafanya kazi zangu zinaenda sawa kabisa , " alimalizia Shilole.
 

Attachments

  • 1409809491887.jpg
    1409809491887.jpg
    67.8 KB · Views: 2,022
Si walifumania juzi juzi hapa wakaimuana hawa?? Kwa huyo mwingine alikuwa anatafuta nini kama anakunwa vyema?? Ishaota sugu hahahaaaaa!!!

Akili kichwani hakuna unaongozwa na uchi pooooh, ndiyo vioo vya jamii.
 
Huyu naye kama vile mgeni na haya mambo!
 
Anatumia nguvu nyingi sana uyu dada kumake headlines.
 
Sawaa,ndo ashasema anakunwa akakunika na mtwangioo wa dogo...

Aisee unajua kuna raha ya kulala na mwanaume aliekuzidi mwanaume kajaa jaa au basi kakuzidi umri kwa kiasi fulanii ni raha sana, sasa unalala na kavulana ili yaan kero tupu
Huyu shilole saizi yake ni Ray,Lema wenye umri huo na kuendeleaa
 
Tushakusikia Shishi baby.
Ila usimbemende mtoto wa watu tuu.
 
shilo_kiuno%2B(1).jpg

STAA wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ‘sita kwa sita’ japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau mwili wake.



Akizungumza na gazeti hili bila kung’ata maneno, Shilole alisema wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo kubwa lakini akawa hayajui mapenzi lakini mwenye umbo dogo kama Nuh, akawa ni bingwa wa mapenzi.


Akiendelea kumwaga data mbele ya kinasa sauti cha Amani, msanii huyo anayetamba na wimbo wa Nakomaa na Jiji alisema kuwa katika mapenzi, umri wala ukubwa wa umbo hauna maana yoyote.


“Yaani kwa kweli Nuh ananimudu na tunaenda sawa katika suala zima la mapenzi, kwa hiyo sioni udogo wake kwangu, kwa upande wangu Nuh ni mkubwa sana watu wasiangalie mwili,” alisema Shilole pasipo kutaja umri wa mpenzi wake huyo.


Shilole aliongeza kuwa, kutokana na mahaba ya nguvu anayoyapata kutoka kwa mpenzi wake huyo, anapata nguvu ya kufanya kazi vizuri siku hadi siku hivyo hapati tamaa.
“Sina stress za mapenzi na mara nyingi nafanya kazi zangu zinaenda sawa kabisa,” alimalizia Shilole. mia


GPL
 
Wanachosha hawa wadada vistaa uchwara......kwanza anaepewa kweli akashiba hasemi.huyu anajishaua tuu anaepewa akashiba hunyamaza kimnyaa asije akaibiwa yeye anatangaza na bado watoto wanazliwa .......watamlilia awachukuke...
 
Ndio mastaaa uchwala wetu, fikra zao ni ngono na misifa, nyimbo zenyewe mapambio matupu, hata waandaaji wa hayo matamasha huwa na washangaa sana, ndio wanao wapa vichwa kwani muziki wao ni vituko tupu labda kwa kuuza sura na kujipatia mapumziko wawapo kwenye tour zao, tuta chekeshwa saana ama kweli.
 
hata mie nina dogodogo wangu....aiseee hapana chezea yeye, ananikuna mpaka nahisi nitamsaliti mchumba wangu.
Hawa visimamia kucha vikipewa nafasi tu, hawaitumii vibaya.

Umeshamsaliti tayari,kwani maana ya usaliti ni nini????
 
hata mie nina dogodogo wangu....aiseee hapana chezea yeye, ananikuna mpaka nahisi nitamsaliti mchumba wangu.
Hawa visimamia kucha vikipewa nafasi tu, hawaitumii vibaya.

Umsaliti mara ngapiii!!?
 
Aisee unajua kuna raha ya kulala na mwanaume aliekuzidi mwanaume kajaa jaa au basi kakuzidi umri kwa kiasi fulanii ni raha sana, sasa unalala na kavulana ili yaan kero tupu
Huyu shilole saizi yake ni Ray,Lema wenye umri huo na kuendeleaa

Umeona eeh?kiukweli mtu mwenye heshima zake hawezi kumvulia nguo mtoto kama mziwanda....ni aibu jamani
Ivi utakidekea vipi kitoto kama hicho??
 
Back
Top Bottom