Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

Sura zimekuwa ngumu kama msasa yaani watu hata mshipa wa aibu na haya hawana....mtu anajisifu uzinzi!! Hivi yule mtoto wa shilole akisikia mama yake anajisifu uzinzi kwa kukunwa bbarabara na dogodogo atajiskiaje kweli?kama si kumharibu mtoto kisaikolojia ni nini?...kweli waswahili hawakukosea waliposema"waso haya wana mji wao"
 
Ndio uselebriti kuongea haya ! Mfyuuuuuuuuu! :shetani::shetani::shetani: Mkubwa we !
 
Sasa hivi banaa ushaanza mambo yako,halaf umeona diva kachambwa na ukweli na uwazi

Siku izi na wewe upo instagram? Dah uko juu, ngoja nkapate supu ya ulimi kwanza, video ntakutumua wacha machepele
 
Binam siko insta nilideku kwa sinta kaweka hiyo habarii,,nilikua nifundishe jinsi ya kujiunga kwa sinta
 
Kuna siku na mimi nilijaribu kujiunga nikashindwa, yan uwa nataman sana kuingia kule nikatoe ya moyon maana binamu mimi bwana siwezag kukaa na kitu jaman hata unipe million siwez kukaa n kitu dah, nshachambwa sana ila ndo vile imeshindikana, sasa ivi wakiniona wananikimbia wanasema mchaw kaja , yan nanyanyasika sana,na mm ni binadamu kama walivyo wengine, inabid sheria itungwe
 
Hahaaaaaaaa
 
Wanakutenga kisa umbea au,hee kwa hiyo binadam hata mi nikikupa siri huwezi kukaa nayo utaisema tu kwa watu,halaf binamu we unaishi nyumbani kwenu au kwako maana umesema wakikuona wanakukimbiaaa!!
 
Wanakutenga kisa umbea au,hee kwa hiyo binadam hata mi nikikuoa siri huwezi kukaa nayo utaisema tu kwa watu,halaf binamu we unaishi nyumbani kwenu au kwako maana umesema wakikuona wanakukimbiaaa!!

Umbea binamu kisa, wazee wangu wapo kimbiji, mimi nipo dar , zaman nilikuwa naish n uncle chanika nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, nikaenda kwa ma mdogo kigamboni nako ivyo hvyo nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, yan hakuna mtu anayetak kukaa na mimi ikabid nipange tu , na apa ninavyokwambia nimepewa notes ndan ya miez mitatu nihame kisa umbea, yan nanyanyasika jaman dah inabid tu sheria itungwe kwa kweli, maana umbea nimejitahid kwenda kwa waganga maombi lakini wapi imeshindikana
 
Binamu, umenifanya nicheke mpaka watu wote wananishangaa hapa bar.
 
Umbea binamu kisa, wazee wangu wapo kimbiji, mimi nipo dar , zaman nilikuwa naish n uncle chanika nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, nikaenda kwa ma mdogo kigamboni nako ivyo hvyo nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, yan hakuna mtu anayetak kukaa na mimi ikabid nipange tu , na apa ninavyokwambia nimepewa notes ndan ya miez mitatu nihame kisa umbea, yan nanyanyasika jaman dah inabid tu sheria itungwe kwa kweli, maana umbea nimejitahid kwenda kwa waganga maombi lakini wapi imeshindikana

Binamu unanivunja mbavu aiseee,mbona mi najua umbea wako ni wa mastaa tu hadi nyumbanii basi we kibokoo,binamu mbona ulisema unaishi mbezi karibu na kina Mange ndio kwenu
Huyo mzee mwenye nyumba akikusumbua mwambie hivi" unamjua Dinazarde" hatakusumbuaaa,kwani binamu umbea ulijifunzia wapii
 
Back
Top Bottom