Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

Binamu umeandika wewe au kuna mtu kakuibia id yako.Hongera kwa hilo.

Ahahah!! Ahahah! , wengine wanaelewa ila wengine wanajua huyu jamaa ndo alivyo, nimeenda shule kidogo najua jinsi ya kucheza na psychology za watu, haah ahaha
 
hata mie nina dogodogo wangu....aiseee hapana chezea yeye, ananikuna mpaka nahisi nitamsaliti mchumba wangu.
Hawa visimamia kucha vikipewa nafasi tu, hawaitumii vibaya.

We mwanamke ww always unajiacha hoii malkia
 
Ahahah!! Ahahah! , wengine wanaelewa ila wengine wanajua huyu jamaa ndo alivyo, nimeenda shule kidogo najua jinsi ya kucheza na psychology za watu, haah ahaha

Hata mi nilijua unachangamsha jukwaaaa tuuu kwii kwiiiiiii
 
Umbea binamu kisa, wazee wangu wapo kimbiji, mimi nipo dar , zaman nilikuwa naish n uncle chanika nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, nikaenda kwa ma mdogo kigamboni nako ivyo hvyo nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, yan hakuna mtu anayetak kukaa na mimi ikabid nipange tu , na apa ninavyokwambia nimepewa notes ndan ya miez mitatu nihame kisa umbea, yan nanyanyasika jaman dah inabid tu sheria itungwe kwa kweli, maana umbea nimejitahid kwenda kwa waganga maombi lakini wapi imeshindikana

Malizia na jf kila siku ban kisa umbeya.
 
Ahaha!! Aahah Dinazarde aya sasa kumekucha, ndugu yako kaja, ahaah dah nimeipenda hii ahahaj

Unajua binamu upo fit sana upstairs, mimi mwenyewe naadmit hilo ndio maana watu wa insta wanapata shida sana humu jf.
 
Last edited by a moderator:
Mh! We warumi nahisi una blogu yako coz uzi/ habari unazoleta znafanana n blogu fulani kila kitu yan copy and paste,xo n yako au? Haunaga kaz ww kila cku umbea 2 tn za wasanii. Usinielewe vbaya lakini,samahani kama nmekukosea
 
Back
Top Bottom