Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

Shilole: Mpenzi wangu ndiye anayenitibu vizuri

Mh! We warumi nahisi una blogu yako coz uzi/ habari unazoleta znafanana n blogu fulani kila kitu yan copy and paste,xo n yako au? Haunaga kaz ww kila cku umbea 2 tn za wasanii. Usinielewe vbaya lakini,samahani kama nmekukosea

Blog zote habari hufananaaaa
 
Mh! We warumi nahisi una blogu yako coz uzi/ habari unazoleta znafanana n blogu fulani kila kitu yan copy and paste,xo n yako au? Haunaga kaz ww kila cku umbea 2 tn za wasanii. Usinielewe vbaya lakini,samahani kama nmekukosea

Blog gan hyo? Mimi sina blog labda wana copy n ku paste, inaitwaje hyo niende uko
 
Aisee unajua kuna raha ya kulala na mwanaume aliekuzidi mwanaume kajaa jaa au basi kakuzidi umri kwa kiasi fulanii ni raha sana, sasa unalala na kavulana ili yaan kero tupu
Huyu shilole saizi yake ni Ray,Lema wenye umri huo na kuendeleaa

machemli wewe ulicheki zile pic alivyomkunja
 
Ok shilole tumesikia kuwa unaguswa vizuri wororo na huyo dogo
 
Kuna mdada picha zake zimesambaa na raha tupu kule zipo yaan mzurii kwelii usoni hadi chuchu ukifika kwenye K unaweza tapikaa Cc@warumi

Ndio hiyo inaitwa dada mzuri ila akitoka na mtu mara moja mtu harudi tena hiyo.
 
Mimi demu akitaka animalize ntangaze ndoa animwagie sifa ka hizo , sema tabu inakuwa ni kweli au sio kweli..?!
 
Kweli maadili ya kitanzania yamekwisha hawajaenda mkoleni hawa Enzi zetu utoe Siri ya mumeo kungwi atakuramba viboko mpaka du tafuta umaarufu au na wewe pia haumlishi viporo na vyakula vya mapoti
 
kuna siku nilienda kununua changudoa sasa ile kufika room nimevua nguo naingiza mashine akaanza kulia kimahaba haaaaa uuuuuu ashhhhh.ilibidi mianze kucheka maana nilikua naingizwa king mazima nuh awe makini hawa wafuga kucha usani mwingi.
 
kuna siku nilienda kununua changudoa sasa ile kufika room nimevua nguo naingiza mashine akaanza kulia kimahaba haaaaa uuuuuu ashhhhh.ilibidi mianze kucheka maana nilikua naingizwa king mazima nuh awe makini hawa wafuga kucha usani mwingi.

Ahaha aahah duh , sasa si ulitoa pesa lazima aonyeshe mbwe mbwe kidog ili mteja wake ufurah na kesho urudi tena
 
Umbea binamu kisa, wazee wangu wapo kimbiji, mimi nipo dar , zaman nilikuwa naish n uncle chanika nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, nikaenda kwa ma mdogo kigamboni nako ivyo hvyo nikafukuzwa kwa ajili ya umbea, yan hakuna mtu anayetak kukaa na mimi ikabid nipange tu , na apa ninavyokwambia nimepewa notes ndan ya miez mitatu nihame kisa umbea, yan nanyanyasika jaman dah inabid tu sheria itungwe kwa kweli, maana umbea nimejitahid kwenda kwa waganga maombi lakini wapi imeshindikana

shikamoo binamu
hahaaaa!
 
STAA wa Mduara , Zuwena Mohamed ‘ Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa , Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ‘ sita kwa sita.

Japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau mwili wake. Akizungumza na gazeti hili bila kung’ ata maneno, Shilole alisema wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo kubwa lakini akawa hayajui mapenzi lakini mwenye umbo dogo kama Nuh, akawa ni bingwa wa mapenzi.

Akiendelea kumwaga data mbele ya kinasa sauti cha Amani, msanii huyo anayetamba na wimbo wa Nakomaa na Jiji alisema kuwa katika mapenzi, umri wala ukubwa wa umbo hauna maana yoyote.

Yaani kwa kweli Nuh ananimudu na tunaenda sawa katika suala zima la mapenzi, kwa hiyo sioni udogo wake kwangu, kwa upande wangu Nuh ni mkubwa sana watu wasiangalie mwili, alisema Shilole pasipo kutaja umri wa mpenzi wake huyo.

Shilole aliongeza kuwa , kutokana na mahaba ya nguvu anayoyapata kutoka kwa mpenzi wake huyo , anapata nguvu ya kufanya kazi vizuri siku hadi siku hivyo hapati tamaa . Sina stress za mapenzi na mara nyingi nafanya kazi zangu zinaenda sawa kabisa , ” alimalizia Shilole.


tatizo shule hakuna,maana umeongea uharooo mtupu.
 
by danford pius hamisi and jeshua theonas:
msanii/super star zuwena mohamedy maarufu kama 'shilole'anayetamba kwa sasa na ngoma yake ya chuna mbuzi ameibuka kwa kuwakanusha wale wanaosema amepata mme mdogo asiye endana nae aitwaye nuhu mziwanda shishi baybe amekanusha kwa kusema hayo`mapenzi hayachagui ukubwa wala mdogo musimuone mziwanda ni mdogo kwa umbo mukazani hata mwili hy hapana ni ana miaka saizi yangu na hata mkisema mseme tayali sisi twapendana na imeshakuwa`haya ndio maneno aliyosema shilole. by danford a.k.a young weezy
 
Back
Top Bottom