Shilole: Mwanaume bila pesa ni kama sanamu

Pamoja na kwamba katumika sana lakini ni mtamu kweli na anajituma balaa
 
Okay...[emoji350] KUMBE JIKE SHUPA[emoji15] [emoji15]
 
Pamoja na kwamba katumika sana lakini ni mtamu kweli na anajituma balaa
Nan huyo mkuu??
Unamzungumzia shishi??
Ushaloweka kamba kwake nn??
Hebu tupe ushuhuda mkuu vr interesting kind of ubuyu[emoji12] [emoji13] [emoji14]
 
Naona siku hizi pesa imekuwa kipimo cha kutupima uanaume wetu..Interesting
 
Pamoja na kwamba katumika sana lakini ni mtamu kweli na anajituma balaa
Kwenye sayanzi enzi za LY, tulifundishwa, MZIGO, JUHUDI NA EGEMEO......
SHilole anapokuwa stejini, egemeo linalotumika siyo sawa na la wakati wa kugegedana.... Kubadirika kwa egemeo, kunaweza kukaondoa au kupunguza performance
 
Nan huyo mkuu??
Unamzungumzia shishi??
Ushaloweka kamba kwake nn??
Hebu tupe ushuhuda mkuu vr interesting kind of ubuyu[emoji12] [emoji13] [emoji14]
Nakuonaa nakuonaa...shilawadu
 
Hivi kwa nini wanawake wakifanikiwa kabla ya mwanaume wanakuwa jeuri sana
Yaani hapo ni shida..
1. Huwa wanasemaga wanalipia mateso wanayoteswa wanawake wengine.....Kwa hiyo adhabu za kuwapa waume wa wanawake wengine, anambebesha mumewe
2. Wana inferiority complex, hivyo kila anachofanya atataka akuonyeshe yeye ni nani

KUZIDIWA SHULE, KIPATO NA MADARAKA NA MKEO, NI ISHU SANA AISEE
 
Hahahaaaa....wanawake wengine bana!

Unamkuta wala siyo 'beauty queen' lakini anajifanya kuendekeza pesa utadhani yeye ni Cindy Crawford.

Mwingine unakuta anakwambia eti 'mwanaume wangu huwa ananipa kiasi hiki au alikuwa ananipa kiasi hiki' lakini ukimwangalia alivyo unabaki unaguna na kujisemea kimoyomoyo 'hmm..hivi anasema kweli huyu au ananipiga fiksi tu....who would honga money for that!!?'.

Bottom line for me is...if you don't like me for me you might as well lose my number and keep it moving...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…