jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Nani kakudanganya Wolper na Lemutuz wamepishana miaka 7mbona wolper 30yrz na harmonize 20yrz
Vikiua vinaondoka.hataki stress vitoto ni kuvilea tu
Hata wewe changamka sasa hivi rafiki,ukizubaa umri ukienda sana utaanza kutembea na vitoto vidogo pia!!Vikiua vinaondoka.