jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Hivi shilole kwanini anapenda kuwachukua vijana wadogo?
Ni kwamba wanamfurahisha zaidi kitandani au sababu anaweza kuwamudu kwa kuwapiga makofi? Kama ilivyo kwa Madee mpaka akamkana demu wake wa zamani Zahra?....
Siri ya shilole ni nini haswa?.