Hiyo biashara yake ya hoteli aliyonayo kafadhiliwa na binti moja mtaani kwetu mwenye mawe balaa,na alipigwa tafu ili awe demu wa mdogo wake,wote watafuta umaarufu ila huyo sister ana mkwanja sana,wakaenda kwa baba yake huyo dogo walifunga kabisa safari,hata kwenye insta za huyo dogo na sister yake wameweka mapicha,hata dogo kaweka pics za mahaba hana viclips akiwa na shilole,sema haijulikani maana followers wao wachache hawajulikani,kwahiyo huyo dogo wa sasa anavyolalamika hapostiwi shilole atapostije wakati anakwepa kuwagonganisha viserengetiYaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyu
Amekana
Shishi anawachanganya sanaAna mitala ya wanaume shishi babe
Nani anajaliHuwa wanacheck afya kweli?
Sasa hao wavyosifia wamepata wifi na kumsifu insta utawaonea hurumaYaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyu
Amekana
Na huyo shosti wako "silole" mwambie aache kuonja onja vivulana hatamalizaVIJANA WA SIKU HIZI KAZI HAWATAKI KUFANYA NI WAVIVU KUPINDUKIA WANATAKA VYA BURE NDO HIVYO VIMEKUTOA ROHO hahahaaaaaaaaaaaaaaaa SAFI SANA SHOSTI SILOLE
Hao ni wanaume wa Dar Huku mikoani wanaume zetu wanaogea jamaa wala hawana mpango na instaNiliwahi kusema... Wanaume wa sikuhz wana umama kidogo.. Nikasakamwa
Ahadi walizokua wakipewa wanawake ikiwamo ndoa,maisha mazuri, umaarufu n.k ndizo ahadi wanazopewa wanaume siku hizi! Kweli zama zimebadilika acheni Mwanamke aitwe mwanamke kwa kweli lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani hapo kwenye wanaume,weka watoto wa kiumeAhadi walizokua wakipewa wanawake ikiwamo ndoa,maisha mazuri, umaarufu n.k ndizo ahadi wanazopewa wanaume siku hizi! Kweli zama zimebadilika acheni Mwanamke aitwe mwanamke kwa kweli lol
Sent using Jamii Forums mobile app