Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Amesema umaharufu. Bora amwambie amlipie ada ya shule
 
Yaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyu
Amekana
Hiyo biashara yake ya hoteli aliyonayo kafadhiliwa na binti moja mtaani kwetu mwenye mawe balaa,na alipigwa tafu ili awe demu wa mdogo wake,wote watafuta umaarufu ila huyo sister ana mkwanja sana,wakaenda kwa baba yake huyo dogo walifunga kabisa safari,hata kwenye insta za huyo dogo na sister yake wameweka mapicha,hata dogo kaweka pics za mahaba hana viclips akiwa na shilole,sema haijulikani maana followers wao wachache hawajulikani,kwahiyo huyo dogo wa sasa anavyolalamika hapostiwi shilole atapostije wakati anakwepa kuwagonganisha viserengeti
 
Yaan shilole mpaka anazeeka atakuwa anataka vitoto vya 18,,anapenda kulalwa na vitoto,anapenda sana kusuguliwa huyu
Amekana
Sasa hao wavyosifia wamepata wifi na kumsifu insta utawaonea huruma
 
Kweli dunia inaenda ilikotoka,dogo analilia km mtoto kike aseee
 
Yan kuna vitu vingine hata kuvisoma vinatia ukakasi kooni!

Yan kijana wa kiume mweny mdudu anaesimama sawia inakuwaje lkn utake matangazo? Mbaya sana hiii......


Ila kuna wamama wanatiwa jaman khaaaa! Shilole hatarii hyo papuchi sa hv akiwa anakojoa mkojo unatawanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIJANA WA SIKU HIZI KAZI HAWATAKI KUFANYA NI WAVIVU KUPINDUKIA WANATAKA VYA BURE NDO HIVYO VIMEKUTOA ROHO hahahaaaaaaaaaaaaaaaa SAFI SANA SHOSTI SILOLE
Na huyo shosti wako "silole" mwambie aache kuonja onja vivulana hatamaliza
 
Sasa kwanini Shishi beibe ajampost Instagram Bwana Uchebe?!
 
Back
Top Bottom