Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

Shilole na Serengeti wake(Uchebe) Kimenuka

VIJANA WA SIKU HIZI KAZI HAWATAKI KUFANYA NI WAVIVU KUPINDUKIA WANATAKA VYA BURE NDO HIVYO VIMEKUTOA ROHO hahahaaaaaaaaaaaaaaaa SAFI SANA SHOSTI SILOLE
Hivi humu JF lady hamna wamama na mimi nitafute Kiki ndiyo kwanza tumiaka twangu tunakaribia 20.
 
ila huyu dada ana sura mbaya kama sio mawigi na make up angekuwa kama kibwengo cha bagamoyo
 
Aliahidiwa umaarufu.
Vijana wa leo ndio maana yule mwengine kalusha picha za uchi mtandaoni ili awe maarufu.kufumba na kufumbua ney katoa wimbo mdada asiye na shepu unacheza uchi sababu tu ni kutaka umaarufu.
Huyu bwege nae kavunja ndoa yake kwa kuahidiwa umaarufu.
Tatizo umaarufu.
 
Haya ndio madhata ya kubadili gia angani, pole sana kijana

young kilimanjaro
 
DOGO WEKA NAMBA ZAKO ZA SIM INSTAGRAM, WENYE AHADI ZAO WAKUHAIDI.
 
Yan kuna vitu vingine hata kuvisoma vinatia ukakasi kooni!

Yan kijana wa kiume mweny mdudu anaesimama sawia inakuwaje lkn utake matangazo? Mbaya sana hiii......


Ila kuna wamama wanatiwa jaman khaaaa! Shilole hatarii hyo papuchi sa hv akiwa anakojoa mkojo unatawanyika

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka kweli eti mpaka mkojo unatawanyika asee.
 
Hii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
View attachment 582597

Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby. View attachment 582600 View attachment 582601 View attachment 582602
Angekuwa ndugu yangu ningemzawadia bando la makofi. Yaani bila aibu dume lenye mzigo wa mbupu chini ya miguu linakuja kulia kwny social media eti 'lilitongozwa' na mwanamke 'likaahidiwa' gud life na 'ndoa'!! Hii dunia sijui inakwenda wapi Yarabi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom