Shilole na Shishi Foods: uvivu wa kujiendeleza unaua vipaji!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068

Msikilize huyu binti anayejulikana muda mrefu jijini Dar.
Kiingereza ni mbofu mbofu hadi unashangaa!
Hata kwa Jah yule wa kiingereza amekuwa mvivu kufika.
Mradi mzuri wa restaurant unajibu halafu anabaki kuwa maimuna kingereza kigumu.
Kweli uzuri si akili.
 
Kiswahili kimetuchelewesha sana, juzi nilimwona mtume mwamposa anahubiri Uganda kwa kiswahili kwenye mkutano mkubwa wa injili wakati waalikwa wenzie walimwaga kingereza kwa uhuru kabisa, nashauri kwa mwenye uwezo peleka mtoto wako English medium atajiamini sana maishani
 
sio lazima ajue hiyo lugha, cha muhimu anamake money. Kuna ambao tunakijua ila hata viatu hatuna
 
Msikilize huyu binti anayejulikana muda mrefu jijini Dar.
Kiingereza ni mbofu mbofu hadi unashangaa!
Hata kwa Jah yule wa kiingereza amekuwa mvivu kufika.
Mradi mzuri wa restaurant unajibu halafu anabaki kuwa maimuna kingereza kigumu.
Kweli uzuri si akili.
Anajitahidi sana ,ukitaka kujua kiingereza haitakiwi kuogopa kuchekwa ,ukicmheck Dayamondi na Konde wapo vizuri sana kwa kiingereza.
 
Dah za kibongo ni hatarii utawasikia dont follow follow me without because mara you can't me am another na ma of course za kutosha.
 
sio lazima ajue hiyo lugha, cha muhimu anamake money. Kuna ambao tunakijua ila hata viatu hatuna
Sasa hivi umemsikia anapata wageni wengine toka nje, hawezi kujieleza zaidi ya yes…yes….fudu…fuduuu!
Inampunguzia kukua kibiashara.
 
Back
Top Bottom