masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Kiswahili kimetuchelewesha sana, juzi nilimwona mtume mwamposa anahubiri Uganda kwa kiswahili kwenye mkutano mkubwa wa injili wakati waalikwa wenzie walimwaga kingereza kwa uhuru kabisa, nashauri kwa mwenye uwezo peleka mtoto wako English medium atajiamini sana maishani
Msikilize huyu binti anayejulikana muda mrefu jijini Dar.
Kiingereza ni mbofu mbofu hadi unashangaa!
Hata kwa Jah yule wa kiingereza amekuwa mvivu kufika.
Mradi mzuri wa restaurant unajibu halafu anabaki kuwa maimuna kingereza kigumu.
Kweli uzuri si akili.
Anajitahidi sana ,ukitaka kujua kiingereza haitakiwi kuogopa kuchekwa ,ukicmheck Dayamondi na Konde wapo vizuri sana kwa kiingereza.
Msikilize huyu binti anayejulikana muda mrefu jijini Dar.
Kiingereza ni mbofu mbofu hadi unashangaa!
Hata kwa Jah yule wa kiingereza amekuwa mvivu kufika.
Mradi mzuri wa restaurant unajibu halafu anabaki kuwa maimuna kingereza kigumu.
Kweli uzuri si akili.
Dah za kibongo ni hatarii utawasikia dont follow follow me without because mara you can't me am another na ma of course za kutosha.Anajitahidi sana ,ukitaka kujua kiingereza haitakiwi kuogopa kuchekwa ,ukicmheck Dayamondi na Konde wapo vizuri sana kwa kiingereza.
Umenikumbusha mambo ya katelephone dont smoke my river ,house is cotton fire.Dah za kibongo ni hatarii utawasikia dont follow follow me without because mara you can't me am another na ma of course za kutosha.
Sasa hivi umemsikia anapata wageni wengine toka nje, hawezi kujieleza zaidi ya yes…yes….fudu…fuduuu!sio lazima ajue hiyo lugha, cha muhimu anamake money. Kuna ambao tunakijua ila hata viatu hatuna