Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huyu mdada ni mzuri, anajua kucheza, na mengineyo. Lakini ana tatizo katika uzungumzaji wake.
Kwa haraka haraka naweza kusema ana 'speech sound' articulation disorder. Ana tatizo kubwa la kutofautisha kati ya 'r' na 'l'.
Angekuwa majuu huenda angepewa ushauri wa kwenda kumwona speech-language pathologist akapate msaada.

Last edited by a moderator: