Shilole na Uongeaji Wake

Shilole na Uongeaji Wake

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Huyu mdada ni mzuri, anajua kucheza, na mengineyo. Lakini ana tatizo katika uzungumzaji wake.

Kwa haraka haraka naweza kusema ana 'speech sound' articulation disorder. Ana tatizo kubwa la kutofautisha kati ya 'r' na 'l'.

Angekuwa majuu huenda angepewa ushauri wa kwenda kumwona speech-language pathologist akapate msaada.

Last edited by a moderator:
Anachanganya kwelii mjin shule ameshajua na kiswanglish acha kabisaa,ila anajitahidi alikua na maisha magumu sasa hiv anasomesha watoto wake
 
naikumbuka ile ya take One pia

maana alikuwa anasema anafanya kolabo na Jeniffer Ropez

sijui kolabo limeishia wapi maana muda umepita
 
Angekuwa amepitia shule anagalau ingemsaidia.
naona hapa alijaribu kubadili lugha.

Shilole aliandika: I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director Nisherbybee.
 
Last edited by a moderator:
naikumbuka ile ya take One pia

maana alikuwa anasema anafanya kolabo na Jeniffer Ropez

sijui kolabo limeishia wapi maana muda umepita
Anataka JLO aje wafanyie kwa marco chali sasa mwenzake timetable zimembana kdg.:rofl:
 
Wajomba zangu wote Wasukuma Wanyamwezi wote herufu R na L kwao ni shida kuzitamka.hivyo mchukulie kama alivyo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Shilole yupo makini sana kwenye uigizaji na kwenye video, anatumia akili na anafanikiwa, mfano kwenye video ya nakomaa na jiji, mule yupo tofaut sana na katulia, sio siri mtoto mkali, kimbembe akiwa nje ya sanaa akili zake sijui anazipeleka anajichetua sana, ila kazin yupo fresh ndo maana wat wanamuelewa
 
Kwa kumcheki na kumsikiliza anavyoongea bibie hana uwezo wa kiviiile wa kung'amua mambo, so namshauri yule jamaa aliyemuingiza chaka la kolabo na JLO, aende Arusha kuna wazungu wanazagaa zagaa kule.....

Wengine wamepangisha singo hata kule ungalimited, aende amchukue mmoja, waende kwa Shilole amwambie ni JLO, waingie kwa Mrcochali.................BUUM...........kolabo tayari.
 
Huyu mdada ni mzuri, anajua kucheza, na mengineyo. Lakini ana tatizo katika uzungumzaji wake.

Kwa haraka haraka naweza kusema ana 'speech sound' articulation disorder. Ana tatizo kubwa la kutofautisha kati ya 'r' na 'l'.

Angekuwa majuu huenda angepewa ushauri wa kwenda kumwona speech-language pathologist akapate msaada.

Kuna kitabu cha lugha kinaitwa common mistake in language so hayo ni matatizo ya wabantu karibia walio wengi,mfano wamachinga wanaweka n ktk m na m ktk n,mwisho wa cku lugha ni chombo cha mawasiliano tu kama umemuelewa alichokuwa anataka zungumza well and good.
 
Last edited by a moderator:
Ala na Ero ni tatizo la kitaifa! Humu wengine tunahifadhika kv ni typed comments, na lau kama ingekuwa ni kuongea, ingekuwa ni Jamii Folamu kwa kwenda mbele!
 
Kuna kitabu cha lugha kinaitwa common mistake in language so hayo ni matatizo ya wabantu karibia walio wengi,mfano wamachinga wanaweka n ktk m na m ktk n,mwisho wa cku lugha ni chombo cha mawasiliano tu kama umemuelewa alichokuwa anataka zungumza well and good.
Watu wengi wa mikoa ya pwani na visiwani; with exception of Tanga; wao(sisi) ni mwendo wa "ntu" badala ya "mtu." By the way, shida yote ya kukaza mdomo ili utamke mtu ya nini wakati ntu inatamkika kiulaiiiini!! Unapotamka "mtu," ni hadi ukaze mdomo na kuufunika, wakati "ntu" unaitamka huku unaachia tabasamu lako....hatutaki taabu sie....kama unabisha, tamka "mtu" huku ukiwa unatabasamu.
 
Ala na Ero ni tatizo la kitaifa! Humu wengine tunahifadhika kv ni typed comments, na lau kama ingekuwa ni kuongea, ingekuwa ni Jamii Folamu kwa kwenda mbele!

Mh!! Mkuu hata katika hivi vi-typed comment bado hili janga la ala na ero lipo. Au wewe haujawahi kuliona?
 
naikumbuka ile ya take One pia

maana alikuwa anasema anafanya kolabo na Jeniffer Ropez

sijui kolabo limeishia wapi maana muda umepita

collabo na j.lo?

for free ama with attachments?

kwanza cost ya kumsafirisha na kumkalisha bongo kwa mwezi ama miezi ya shooting asingeweza.

wema mwenyewe alishindwa kum-maintain omotola sababu ya ujinga wake, je huyu shilole angeweza kwendana na j.lo?

wasanii wengi wa Tanzania wanajikosesha bahati sababu ya mambo yao ya ajabu ajabu tu na ukosefu wa elimu kichwani!
 
Mh!! Mkuu hata katika hivi vi-typed comment bado hili janga la ala na ero lipo. Au wewe haujawahi kuliona?
Ah, u're 101% right aisee! Hata humu pamoja na kwamba tu-type, bado hilo janga lipo sana tu...niliamua tu kumezea kiutu uzima manake wengine washasema kwamba tatizo la shule linachangia...humu jamvini watu si tunajiita ma-GT?! Au kuna GT asiyeenda shule??!!
 
Others are born GT but poor orators... But they have gone too far even in writing..😀😀
 
Shilole angefanikiwa kupata elimu angekua juu sanaa.
Nampenda hanaga masifa ya ajabu.
Kwa historia ya maisha yake na alipofikia anastahili pongezi.
 
Yo know am crazy! Be your confidence! Simchukii ila alichemka na kujieleza bado sana ila ana Jitahidi
 
Back
Top Bottom