Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Anataka JLO aje wafanyie kwa marco chali sasa mwenzake timetable zimembana kdg.:rofl:naikumbuka ile ya take One pia
maana alikuwa anasema anafanya kolabo na Jeniffer Ropez
sijui kolabo limeishia wapi maana muda umepita
Kuna kitabu cha lugha kinaitwa common mistake in language so hayo ni matatizo ya wabantu karibia walio wengi,mfano wamachinga wanaweka n ktk m na m ktk n,mwisho wa cku lugha ni chombo cha mawasiliano tu kama umemuelewa alichokuwa anataka zungumza well and good.Huyu mdada ni mzuri, anajua kucheza, na mengineyo. Lakini ana tatizo katika uzungumzaji wake.
Kwa haraka haraka naweza kusema ana 'speech sound' articulation disorder. Ana tatizo kubwa la kutofautisha kati ya 'r' na 'l'.
Angekuwa majuu huenda angepewa ushauri wa kwenda kumwona speech-language pathologist akapate msaada.
Watu wengi wa mikoa ya pwani na visiwani; with exception of Tanga; wao(sisi) ni mwendo wa "ntu" badala ya "mtu." By the way, shida yote ya kukaza mdomo ili utamke mtu ya nini wakati ntu inatamkika kiulaiiiini!! Unapotamka "mtu," ni hadi ukaze mdomo na kuufunika, wakati "ntu" unaitamka huku unaachia tabasamu lako....hatutaki taabu sie....kama unabisha, tamka "mtu" huku ukiwa unatabasamu.Kuna kitabu cha lugha kinaitwa common mistake in language so hayo ni matatizo ya wabantu karibia walio wengi,mfano wamachinga wanaweka n ktk m na m ktk n,mwisho wa cku lugha ni chombo cha mawasiliano tu kama umemuelewa alichokuwa anataka zungumza well and good.
Ala na Ero ni tatizo la kitaifa! Humu wengine tunahifadhika kv ni typed comments, na lau kama ingekuwa ni kuongea, ingekuwa ni Jamii Folamu kwa kwenda mbele!
naikumbuka ile ya take One pia
maana alikuwa anasema anafanya kolabo na Jeniffer Ropez
sijui kolabo limeishia wapi maana muda umepita
Ah, u're 101% right aisee! Hata humu pamoja na kwamba tu-type, bado hilo janga lipo sana tu...niliamua tu kumezea kiutu uzima manake wengine washasema kwamba tatizo la shule linachangia...humu jamvini watu si tunajiita ma-GT?! Au kuna GT asiyeenda shule??!!Mh!! Mkuu hata katika hivi vi-typed comment bado hili janga la ala na ero lipo. Au wewe haujawahi kuliona?
Ah, u're 101% right aisee! Hata humu pamoja na kwamba tu-type, bado hilo janga lipo sana tu...niliamua tu kumezea kiutu uzima manake wengine washasema kwamba tatizo la shule linachangia...humu jamvini watu si tunajiita ma-GT?! Au kuna GT asiyeenda shule??!!