Watu wengi wa mikoa ya pwani na visiwani; with exception of Tanga; wao(sisi) ni mwendo wa "ntu" badala ya "mtu." By the way, shida yote ya kukaza mdomo ili utamke mtu ya nini wakati ntu inatamkika kiulaiiiini!! Unapotamka "mtu," ni hadi ukaze mdomo na kuufunika, wakati "ntu" unaitamka huku unaachia tabasamu lako....hatutaki taabu sie....kama unabisha, tamka "mtu" huku ukiwa unatabasamu.