Shilole na Uongeaji Wake

Shilole na Uongeaji Wake

Uzuri ni kwamba anajiamini na haogopi hata akipiga broken na ndo maana anakua corrected ili next time asiharibu.hivyo hivyo mpaka atakijua.wengi tumejifunza hivyo hivyo na sahv tupo vizuri.penye nia pana njia.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Watu wengi wa mikoa ya pwani na visiwani; with exception of Tanga; wao(sisi) ni mwendo wa "ntu" badala ya "mtu." By the way, shida yote ya kukaza mdomo ili utamke mtu ya nini wakati ntu inatamkika kiulaiiiini!! Unapotamka "mtu," ni hadi ukaze mdomo na kuufunika, wakati "ntu" unaitamka huku unaachia tabasamu lako....hatutaki taabu sie....kama unabisha, tamka "mtu" huku ukiwa unatabasamu.
hahahahah mkuu umetishaaaaa
 
Back
Top Bottom