naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 791
- 1,074
Hahahahahahah uwiiii mama angu mzazi nimecheka hatari
Waziri wa mambo ya nje wa marekani aliyekuwa msaidizi wa gadaffi akitokea iraq alipokuwa mkuu wa majeshi kwa muda kabla ajakimbilia al shababu alipokuwa anaogoza kikosi cha westgatez mall pale kenya anajilikana kama black widow anatafutwa na dunia nzima kwa sasa ukimuona karipoti ubalozi wa marekani na kenya.........