Wala sikushauri ujaribu...ilichonifanya Mimi hatari.
Kwenye kuchanganya L na R hua anaiacha hoiii huyuu
Kamechoka kinoma
Ila huyu jamaa kiukweli anatuweka sana kwenye hili jukwaa. Namkubali sana.
Warumi nae yupo vizuri,sema yeye ngumi mkononi.
KAROLAITI NDO INA MADHARA LAKINI DODO HAINA MADHARA KIAFYA.
Namshauri Shilole aanze kutumia Dodo.
Hiyo dodo nasikia ndio hatari vibaya saaana maana kuna mdada waliweka picha yake jinsi ilivyomharibu
Ujinga tu na kutojiamini. Ni vizuri lakini coz mchuma janga hula na wakwao
Dinazarde hivi dodo haina madhara km carolaiti? Naomb unisaidie utaalam kdg nataka nijaribu
umeona eeeh!!
mara nyingi wengi wanaishia kujuta ila mijitu haikomi
Bibie upo umeadimika n i missed u here
shost dont try at home,at school au kwenye mwili wako
Angemuuliza vera sidika ule mkorogo wake classic ameupatia apii...!
Hiyo dodo nasikia ndio hatari vibaya saaana maana kuna mdada waliweka picha yake jinsi ilivyomharibu