Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa...nitajaribu, nataka niwe mweupeee kama karatasi.....
Kwa hiyo ukishaanza haina kuacha?
Utakomajeee sie wachekaji tupo tuuu
Money stunna au?.warumi sio mvumilivu havumilii kutukanwa sie wengine tushakua sugu na kutukanwa
Akhuu na mnicheke tu....nataka niwe mweupeee, najua ndugu zako wasukuma wakiniona watamimina mingombe na mingombeeee....
Hayaaa ukifanikiwa niambieeeee
Ntakutumia na picha.
Poaaaa ile ya zamani si ninayoo ntapima nilinganishee
Hahahaaa...nitajaribu, nataka niwe mweupeee kama karatasi.....
Kwa hiyo ukishaanza haina kuacha?
Huwa nashindwa hadi kushangaa, hivi unawaza nini hadi unajichubua?? Kwamba weusi ni ugonjwa au laana sijui? Hivi kuna mtu ashawahi kufa kwa sababu ni mweusi?? Kweli ujinga na kutojiamini ni dhambi kubwa sana. Me mweusi tena mbayaa but najiamini ova
Uzungu waachiwe wazungu tu
Unapishana na mtu tena na joto hili ananuka kama nyama mbichi!
Kumbe Shilole ni mwanamke?
kinonda kinachelewa kupona? akapime Cd4
Angemuuliza vera sidika ule mkorogo wake classic ameupatia apii...!
Hiyo dodo nasikia ndio hatari vibaya saaana maana kuna mdada waliweka picha yake jinsi ilivyomharibu