Shilole: Nimekoma na ningejua hata nisingejichubua

Shilole: Nimekoma na ningejua hata nisingejichubua

Amanijua

Hahahaaa...nitajaribu, nataka niwe mweupeee kama karatasi.....

Kwa hiyo ukishaanza haina kuacha?
 
Last edited by a moderator:
Si alijikoboa ili apate wanaume wapya mjini aludi kijijin kwa bwana wake wa zamani atakuwa kama mwanzo tu ila akibaki hapa mjini lazima ajikoboe ili aendelee kupata mabwana wapya,duuu kumbe Zuwena ni mweusi hii balaaaa
 
Hahahaaa...nitajaribu, nataka niwe mweupeee kama karatasi.....

Kwa hiyo ukishaanza haina kuacha?

Hakuna sababu za kuacha kitu ambacho hakina madhara kwako!!!!
Ni kama vile ambavyo huwezi kuacha kulala pamoja na kula.
 
Huwa nashindwa hadi kushangaa, hivi unawaza nini hadi unajichubua?? Kwamba weusi ni ugonjwa au laana sijui? Hivi kuna mtu ashawahi kufa kwa sababu ni mweusi?? Kweli ujinga na kutojiamini ni dhambi kubwa sana. Me mweusi tena mbayaa but najiamini ova

Pole sana.....
Mtoto wa kike unapaswa kwenda na wakati bhana.
Mbona kichwani unachoma nywele na kushonea mawiving.
Mbona unavaa suruali kama wazungu kwanini usipende kuwa mweupe wewe??????
 
Back
Top Bottom