Hebu am-contact Wema japo inaweza kuwa gharama au kuna product ya sili naona inatangazwa saana kwenye TV inaitwa Grace, hebu aijaribu maana mtengenezaji anasema ina uwezo kurudisha ngozi ya asili. Pole Shilole ila hongerah wa bidii maana naam unakomaa na jiji!