Shilole: Nimekoma na ningejua hata nisingejichubua

Shilole: Nimekoma na ningejua hata nisingejichubua

the+click.jpg
Huyu nani bibi cheka wa Temba au.!
 
Hebu am-contact Wema japo inaweza kuwa gharama au kuna product ya sili naona inatangazwa saana kwenye TV inaitwa Grace, hebu aijaribu maana mtengenezaji anasema ina uwezo kurudisha ngozi ya asili. Pole Shilole ila hongerah wa bidii maana naam unakomaa na jiji!
 
Na watu kuongea hivyo kuna watu wana makopo ya carlolite na wanapaka kama kawa
 
Back
Top Bottom