Utawaweza mbogamboga kwa kuongeza 0 wako vzrHuwa wanaona watu wana akili mbovu kama zao. Hao watu 200 walioajiriwa kwenye mgahawa wake kamaanisha hadi wateja? Hata Kiwanda kufikisha wafanyakazi 200 sio mchezo.
Kuchomewaaa ?? Waliopoteza wapendwa wao je ???Msanii Zuena Mohamed ( Shilole ) ambaye ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Migahawa ya SHISHI FOOD, leo Disemba 18,2025 akiwa katika eneo la Mgahawa wake wa Dar es salaam ambao ulichomwa moto katika vurugu za uchaguzi October 29, amesema amewasamehe Watu wote waliohusika kuchoma Mgahawa wake.
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Shilole amesema kwa sasa ameamua kutumia njia ya kufanya Delivery kama alivyokuwa akifanya hapo awali wakati anaanza biashara hiyo ya chakula ili kuifufua tena biashara yake hii ambayo anasema imewakosesha ajira Vijana takriban 200.
We ukimtuma boda vitu anakuwa muajiriwa wako?Nahisi ni wanufaika 200 (ukijumlisha wapishi na familia zao, bodaboda wa kufanya delivery na familia zao). Kama ni hivo, it make sense, ila sio wafanyakazi 200 aisee.
Familia za wapishi pia ni waajiriwa wa shishi food?Nahisi ni wanufaika 200 (ukijumlisha wapishi na familia zao, bodaboda wa kufanya delivery na familia zao). Kama ni hivo, it make sense, ila sio wafanyakazi 200 aisee.