viroba + gongo +wanzuki + mtindi + cha arusha + njaa + mziwanda + ugali = jokes at work
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi,sugu katuharibia bunge.
Chadema wameufanya ubunge kuwa kitu rahisi,sugu katuharibia bunge.
Mbona marehem capt. John komba mwanamuziki alikua mbunge? ?
mmmh CV gani aliyonayo mpaka wananch wamuombe awaongoze
Anajua kusoma na kuandika.