Shilole, wewe ndiye hovyo zero kabisa. Pierre Konki Liquid kuwa makini na usalama wako tena sana

Haikuvuja video nini maana inaonekana hata aibu hana?

Sent using unknown device
 
Ila Bashite akawihi kumpoteza Pierre__liquid kwa kutumia genge lake la makirikiri.
 
Hilo kahaba linatiwa mavidole jukwaani mlevi mbwa kabisa anapata wapi uhalali wa kumuongelea pierre mzee wa liquid?

Umaarufu wa pierre haukuja kwa kiki mtu alimchukua video akiwa yupo maji anafurahu na hapo hapo fursa zikamfungukia ni watu wenye roho mbaya wanayeweza kumchukia mtu ambaye haingilii chochote unachofanya wala hajakudhuru

Muda umeamua sasa ni zamu ya pierre liquid na atabaki kuwa juu [emoji928][emoji928]

Live and let live πŸ₯ƒ
 
Uko sahihi kabisa
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
katamkuka na bi mkubwa wako, iki ukeleke vzr, maana ankala ya matumiz kanayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Mjinga ni huyo aliyemkaribisha Mrevi kwenye Tokomeza ziro.Pale mambo ya kuongea yalikuwa mengi nashangaa Makonda anaongea Mipasho pale.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Hakuna usahihi wowote kutoka kwa makonda yeye mwenyewe amepata zero tena FFFFF atatoa wapi mbinu za kutokomeza ziro kwa wengine wakati kwake kashindwa? Makonda WIVU ndio umemsukuma kusema hayo baada ya mama Samia Suluhu kumsifu piere siku wachezaji walipo alikwa ikulu, mama hakumsifu makonda kwa chchote bali alisifu uhamasisaji wa piere, akitaka kutokomeza zero arudie mitihani yake na afaulu atueleze ametokomezaje zero, bora pier ni mjasiriamali yeye makonda ukiacha kubebwa anaweza kufanya nini?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Funga viwanda vya bia. Unasemaje kupromote walevi wakati kila siku advertisement na promo za vilevi mbalimbali zinajaa kwenye social media?

.
 
Hahahaa........ Mama Ubeche!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Hcho unachosema Bashite kufanya hivyo ni jambo la msingi,ninakataa katu katu maana hao wote wametokea kwenye mbo ya hovyo hovyo,kwani hamkumbuki Kiki ya Bashite ya kumpiga Judge Kibao? Je hayo Mambo huwa wanafanya waungwana au watu wa hovyo hvyo!?
Ujinga Ni nn,Ni hali ya kumchukia mtu ambaye kashafika kwenye Lime light bila kuomba promo kwa Mitutu ya bunduki wala kukaa uchi
 
Ha ha ha mi ndo nimemjua leo, makonda bashite kampaisha ile kinoma.

Ila kwa wanavyo charuana, tutegemee mkuu kuingilia kati kumtumbua mtu kwa kumtetea kjana wake.

Jocket, Kigwangala, Mwakyembe, na Mh Samia wote wamekuwa tofauti na jumba jeupe, ngoja tuone mwisho wa movie hii.
Zaidi naona Pierre Likwidi akizidi kuwa juu....

Kwa tusiompenda makonda tunakuwa upande wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"

Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Amealikwa kuchangia na kachangia.

Vipi, unaweza kutokomeza zero kwa kujihusisha na zero? Shituka wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…