carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Pierre atabaki kuwa juuj...
Every body say yeeeeeeeeyeeoooooooooookkk
Sent using Jamii Forums mobile app
Every body say yeeeeeeeeyeeoooooooooookkk
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuvuja video nini maana inaonekana hata aibu hana?watu wamemnyamazia yake mengi anadhani wanamuogopa?alipigwa mtungo hatari kwenye fiesta huko singida,wazee walipiga front hadi mtaro kalewa ndiiiiii hadi kachafua mazingira ya uani na ile skendo ya kushea mkuyenge wa mziwanda na bintiye je?.usituchefue kabisa we dada. PIERE ATABAKI KILELENI.
Ila Bashite akawihi kumpoteza Pierre__liquid kwa kutumia genge lake la makirikiri.Pole sana mzee wa liquid, wewe hauna madhara kwa mtu yoyote yule,kila mtu anajua hauna shida na mtu maskini all you do is to make us laugh kumbe UMAARUFU wako kuna WARUGARUGA UNAWAUMA SANA haswa baada ya kununua gari wakati wengine walitumia hadi mabavu kuwasweka watu ndani kuwabambikia kesi na kuchukua mandinga yao
Waliokuwa wanasema pierre liquid issue ni kama ya Dr shika mtaamini sasa kwamba ni tofauti kabisa, Shika na wengine wanaotumikaga ku divert attention kwenye mambo mazito hawajawahi kuwa LAMBASTED na kamati ya roho mbaya sababu walikuwa kwa kazi maalumu
Kwa liyeangalia ugeni wa taifa stars majuzi ikulu pale makamu wa Rais alipomsifia konki liquid na kusema hakufurahia mambo ya bashite ya ofa za pombe unaona kabisa kuna watu walinuna,kesho yake le mtumboz akaandika makala kubwa ya le akilizi kubwa kumkandia pierre na kumuita wa hovyohovyo maneno ualiyorudiwa jana na bashite
Cha kusikitisha Shilole naye kashiriki kumuita eti hana akili.Hata wewe mamaaaa?uliyeshea mkuyenge wa yule msanii na binti yako mkubwa?wewe uliyebakwa front and back kwenye fiesta tour ukiwa umelewa chakari hadi ukajichafua UANI?
Piere kuwa makini tu ,kamati ya roho mbaya ni hatari hiyo,kwenye pombe ukienda chooni nenda na kinywaji chako kabisa na ukiona Noah nyeusi kimbia kimbiaaaa
Kwenu nyie tena wakolomije?issue za watu kama kina piere zipo dunia nzima,huwa hawadumu hao,let him enjoy his moment jamani,WALISHATOKEA KINA GITHERI MAN WA KENYA, HOT FELONY WA USA na kadhalika..daaaah
View attachment 1058644
Kumbe aliburuzwa mbele na nyuma... kweli wahuni sio watu wazuri...Shilole ni huyu>kahabaa?View attachment 1058682au huyu>mraya?View attachment 1058684
Uko sahihi kabisaKuna watu Ni Vilaza Sana
Zile Kashfa zao kwa Pierre Ni kashfa kwa mwenyeji wa shughuli ile Mh.Jokate
Aliemualika Paul Makonda, Shilole ndio huyo huyo ndie alimualika Pierre , Pierre hakujileta kaalikwa kwa Kadi Kama wengine
Kushambulia watu wanaowapa Kiki Walevi maana yake Ni kushambulia aliemualika
Mie simpendi Pierre kwa kuwa sivutiwi Na aina ya sanaa yake lakin Najua Hata wale ambao Mie nawapenda Pia kuna watu hawawapendi
Kama umaarufu unatokana Na akili ya Mtu Au Maarifa ya Mtu Basi Makonda Na Shilole wasingekuwa maarufu
Chanzo ha Umaarufu wa Makonda Ni kumtwanga Makonde ya nguvu hadharan Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Warioba
Chanzo Cha Umaarufu wa Shilole Ni kukatika viuno vya kitandani hadharan halafu wanashangaa Mlevi Kuwa Maarufu
katamkuka na bi mkubwa wako, iki ukeleke vzr, maana ankala ya matumiz kanayo!Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"
Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Mjinga ni huyo aliyemkaribisha Mrevi kwenye Tokomeza ziro.Pale mambo ya kuongea yalikuwa mengi nashangaa Makonda anaongea Mipasho pale.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"
Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
😂😂😂😂😂Ila Bashite akawihi kumpoteza Pierre__liquid kwa kutumia genge lake la makirikiri.
Hakuna usahihi wowote kutoka kwa makonda yeye mwenyewe amepata zero tena FFFFF atatoa wapi mbinu za kutokomeza ziro kwa wengine wakati kwake kashindwa? Makonda WIVU ndio umemsukuma kusema hayo baada ya mama Samia Suluhu kumsifu piere siku wachezaji walipo alikwa ikulu, mama hakumsifu makonda kwa chchote bali alisifu uhamasisaji wa piere, akitaka kutokomeza zero arudie mitihani yake na afaulu atueleze ametokomezaje zero, bora pier ni mjasiriamali yeye makonda ukiacha kubebwa anaweza kufanya nini?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"
Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Funga viwanda vya bia. Unasemaje kupromote walevi wakati kila siku advertisement na promo za vilevi mbalimbali zinajaa kwenye social media?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"
Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Hahahaa........ Mama Ubeche!Pole sana mzee wa liquid, wewe hauna madhara kwa mtu yoyote yule,kila mtu anajua hauna shida na mtu maskini all you do is to make us laugh kumbe UMAARUFU wako kuna WARUGARUGA UNAWAUMA SANA haswa baada ya kununua gari wakati wengine walitumia hadi mabavu kuwasweka watu ndani kuwabambikia kesi na kuchukua mandinga yao
Waliokuwa wanasema pierre liquid issue ni kama ya Dr shika mtaamini sasa kwamba ni tofauti kabisa, Shika na wengine wanaotumikaga ku divert attention kwenye mambo mazito hawajawahi kuwa LAMBASTED na kamati ya roho mbaya sababu walikuwa kwa kazi maalumu
Kwa liyeangalia ugeni wa taifa stars majuzi ikulu pale makamu wa Rais alipomsifia konki liquid na kusema hakufurahia mambo ya bashite ya ofa za pombe unaona kabisa kuna watu walinuna,kesho yake le mtumboz akaandika makala kubwa ya le akilizi kubwa kumkandia pierre na kumuita wa hovyohovyo maneno ualiyorudiwa jana na bashite
Cha kusikitisha Shilole naye kashiriki kumuita eti hana akili.Hata wewe mamaaaa?uliyeshea mkuyenge wa yule msanii na binti yako mkubwa?wewe uliyebakwa front and back kwenye fiesta tour ukiwa umelewa chakari hadi ukajichafua UANI?
Piere kuwa makini tu ,kamati ya roho mbaya ni hatari hiyo,kwenye pombe ukienda chooni nenda na kinywaji chako kabisa na ukiona Noah nyeusi kimbia kimbiaaaa
Kwenu nyie tena wakolomije?issue za watu kama kina piere zipo dunia nzima,huwa hawadumu hao,let him enjoy his moment jamani,WALISHATOKEA KINA GITHERI MAN WA KENYA, HOT FELONY WA USA na kadhalika..daaaah
View attachment 1058644
Hcho unachosema Bashite kufanya hivyo ni jambo la msingi,ninakataa katu katu maana hao wote wametokea kwenye mbo ya hovyo hovyo,kwani hamkumbuki Kiki ya Bashite ya kumpiga Judge Kibao? Je hayo Mambo huwa wanafanya waungwana au watu wa hovyo hvyo!?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"
Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera
Zaidi naona Pierre Likwidi akizidi kuwa juu....
Kwa tusiompenda makonda tunakuwa upande wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Amealikwa kuchangia na kachangia.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alichosema makonda ni sahihi "hatuwezi kutokomeza zero kwa kupromote mambo ya kijinga"
Hapa kwetu vitu vya kijinga ndo vinapewa attention kuliko mambo maana hata mm ako kajamaa kananikera