Salaam ,shalom!!
Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu.
Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura Kisha unawatuhumu chama kile kuiba kura Ukiwa nyuma ya keyboard, tuachane nayo.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Karibuni 🙏
Pia soma:Kuelekea 2025 - Asiyepiga kura, Hana HAKI ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024&2025 kupiga kura na kuzilinda