Pre GE2025 Shime ndugu Watanzania, twendeni tukajiandikishe Kwa ajili ya uchaguzi wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
We huogopi
 
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box ka kura. Wanaopiga kura kwa mazingira haya ni mazombie, ama ni wanaofaidika na mazingira haya.
 
Kuna kifo kitatokea kabla ya December 31 mwaka huu, hicho ndiyo kitaamsha hamasa ya watu kujiandikisha.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box ka kura. Wanaopiga kura kwa mazingira haya ni mazombie, ama ni wanaofaidika na mazingira haya.
Uchaguzi wa mambugira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…