Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi.
Shime wafanyakazi wa sekta zote, majumbani, wafanyakazi wa majumbani, n.k twendeni kesho tukapime VVU.
Nashauri wahudumu wa afya watembelee maofisini na majumbani kupima na kutoa ushauri nasaha.
Nashauri viongozi wetu nchi nzima waonyeshe mfano kwenda kupima hadharani ili kuhamasisha watanzania wote.
Tanzania bila mambukizi ya Ukimwi inawezekana. tuamue.