Shime! Watanzania wenzangu, kesho 1/12/22 twendeni tukapime VVU

Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi.

Shime wafanyakazi wa sekta zote, majumbani, wafanyakazi wa majumbani, n.k twendeni kesho tukapime VVU.

Nashauri wahudumu wa afya watembelee maofisini na majumbani kupima na kutoa ushauri nasaha.

Nashauri viongozi wetu nchi nzima waonyeshe mfano kwenda kupima hadharani ili kuhamasisha watanzania wote.

Tanzania bila mambukizi ya Ukimwi inawezekana. tuamue.
Wikendi inaelekea kuanza vema ila huyu anataka kututoa kwene reli. kiongozi humu tunashare stori nzurinzuri za mitungi, mademu pisikali, viwanja vikali vya watrotro wazuri.
 
tunawaokoa vijana.

bada ya hizo starehe vijana wengi wanakuja mahospitlini wanalalamika wakiwa na gonoria na kaswende.
wanakojoa usaa, wakati huo pasikali hazipo tena.
 
Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi.

Shime wafanyakazi wa sekta zote, majumbani, wafanyakazi wa majumbani, n.k twendeni kesho tukapime VVU.

Nashauri wahudumu wa afya watembelee maofisini na majumbani kupima na kutoa ushauri nasaha.

Nashauri viongozi wetu nchi nzima waonyeshe mfano kwenda kupima hadharani ili kuhamasisha watanzania wote.

Tanzania bila mambukizi ya Ukimwi inawezekana. tuamue.
Hivi ukimwi bado upo eeh?
 
Mzigo upo hapa mwezi mmoja tu umepona ni mia kwa mia wapo watatu wamepona nicheki 0712505049 laki tano tu
 
Back
Top Bottom