Hongera mkuu kwa kuhamasisha jambo hili muhimu, ninakuunga mkono na mimi mapema sana kesho nawahi kwenda kupima kujua afya yanguKesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu.
endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya arv na kuepusha maambukizi zaidi.
Shime wafanyakazi wa sekta zote, majumbani, wafanyakazi wa majumbani, n.k twendeni kesho tukapime vvu.
Pima ili uweze kutambua afya yako.Huko kupima pima ipo siku utakipata unacho kitafuta.
WAZUNGU WANACHEKA SANA WASOMI NJAA WAKIPONGEZA BIASHARA ZA WATU[emoji16][emoji16]Hongera mkuu kwa kuhamasisha jambo hili muhimu, ninakuunga mkono na mimi mapema sana kesho nawahi kwenda kupima kujua afya yangu
Twende tukapime tupate huduma za kujikinga na kupunguza maambukizi mampya ya ukimwi