ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #201
alamu zangu zimefika ngapi mbona sipewi matokeo ladyfurahia
Siku hizi kule hatufanyi siasa bali sihasa.
Hilo neno "Kifastjeti" zaidi nimelipenda.
hiyo kazi jana nilimwachia jaji Paloma atangaze yule
aliyevuka alama 5 hapa cc hivyo ngoja aje amtangaze
yule aliyepata alama za juu kwa jana halafu ijumaa
tutatangaza mshindi aliyeingia TOP5 Kisha jmosi
atakayeingia 3 bora halafu hao ndo watashindanishwa
ana apatikane yule kinara wa CC MUSIC AWARD 2013
WA CC JE MPAKA HAPO UMENIELEWA?
aiseeee DEMBA keshaniwahi kweli mtu chake......
ladyfurahia
naanza kukata rufaa mapema
hadi sasa niko namba mbili
ngoja niimbe tena ule wimbo wangu
uisikike vizuri.
Yaani mko katika mchujo na mwenzako ana kura nyingi sana
yaani mmepishana vipoint kidogo endelea kuwahimiza watu
wako wakupigie kura zaidi uenda leo ukalivaa taji la top5
lakkini hata hivyo umeshinda best kuwa top5 ambao
mtarekodi nyimbo zenu bure kabisa huoni ni fahari hiyo?
he! kumbe huku nagombania tuzo! nilisahau ujue!tumeanza kuwatangaza washindi ambao wataingia TOP5
wewe umeshika nafasi ya 3 upande wa MKOA WA CHITCHAT kwa alama 2420 kati ya 7120
wa kwanza ni Fixed Point, anayefuata ni Mamndenyi hivyo endelea kujitahidi ili uwapite hao
ha haa, rafiki hii ni kampeni?ladyfurahia mwaya asante walau kwa kuwa top five
Pia wape hi sana hao majaji najua haki itatendeka
Kwa sasa ninazidi kuomba kura kwa rafiki zangu
wa karibu kama mwaJ na mumewe Mwita Maranya (siasa tuweke kando) Arushaone na mkewe Lady doctor, Mr Rocky na hawara zake, Asprin na uliowakagua wote, Bishanga na familia yake Judgement na mkeo, Heaven on earth na wapenzi wako, Smile na rafiki zako, Kongosho na hawara zako, marejesho na mumeo Filipo mimisa na mume wako, Chimbuvu (niko mbioni kutoa biti za wimbo wangu), Slave najua huwa mke kwa sasa, Madame B (hope u a good now),
Na wengine wote naombeni kura zenu kwa taadhima na kwa
heshima sana.
Naomba kura ya veto kutoka kwa mwanasiasa mwenzangu
na mpenzi wangu chama.
Hahaha leo DEMBA kawahi kuamka ujue
ha haa, rafiki hii ni kampeni?
mimi nina wadogo zangu humu wakitokea sijui utapita wapi..... KOKUTONA, Chocs, C6 Erickb52, snowhite, cacico, gfsonwin, mwaJ, Kaunga, Asnam, Arabela, Heaven on earth, Young Master, Madame B, amu, Kaizer, Mtambuzi, sister, Ablessed, figganigga, kipipi, Nyamayao, MwanajamiiOne, FirstLady1, Nivea, dada white, shansarie, ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Kongosho, Jiwe Linaloishi. Paloma, Excellent.......yaani nikiendelea hapa ukurasa utajaa
tumeanza kuwatangaza washindi ambao wataingia TOP5
wewe umeshika nafasi ya 3 upande wa MKOA WA CHITCHAT kwa alama 2420 kati ya 7120
wa kwanza ni Fixed Point, anayefuata ni Mamndenyi hivyo endelea kujitahidi ili uwapite hao
ha haaa, wanasemaga damu ni nzito kuliko damu nyingine mdogo wangu, shauriyo!Mamndenyi........na
Fixed Point mbona mnanipa mtihani mgumu.............
ila udada nao una matter sana
bora ujivue gamba na umpigie kampeni dadako.....Nimejivua gamba lol......ngoja hao wawili ndo waendelee na ushindani......
Nimeibiwa kura zangu ntaandamana hakiyanani........
he! kumbe huku nagombania tuzo! nilisahau ujue!
sasa napaswa kufanya nini muandaaji wa shindano?
takrima kwa wapiga kura inaruhusiwa?
mkwe, na kucheza pia nataka!` hata kama nina ubapa, utatikisika tu siku hiyo! mzima wangu?? wakwe zangu wamekua wakubwa, mapacha watajifaidia, watu watemi vile??, na msitu mkubwa vile wameumudu???Mimi nitaongoza kundi langu kuimba kwaya kama nilivyosema hapo mwanzo....
mimi nitaimba sauti ya kwanza na nikisaidiana na Elizabeth Dominic
sauti ya pili ni snowhite, Ablessed na cacico
sauti ya tatu Kaizer tafuta wa kukusaidia hapo
bass ni babu Asprin..... nawe tafuta msaidizi
NB: anayetaka kujiunga kwenye sauti yoyote anakaribishwa sana
wimbo wetu huu hapa
nimekumiss sana! hebu uje tujuliane hali siku moja!Binam wala usipate tabu ya kutoa bakshishi... kura yangu umepata.
Mzima lakini binam? majukum yamebana kweli mpaka naonekana kwa kubip utafikiri indiketa ya boda boda