Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
nakuaminia binamu, asante sana......Binam wala usipate tabu ya kutoa bakshishi... kura yangu umepata.
Mzima lakini binam? majukum yamebana kweli mpaka naonekana kwa kubip utafikiri indiketa ya boda boda
ha haaa, kwa kucheza nakuaminia mkwe.....mkwe, na kucheza pia nataka!` hata kama nina ubapa, utatikisika tu siku hiyo! mzima wangu?? wakwe zangu wamekua wakubwa, mapacha watajifaidia, watu watemi vile??, na msitu mkubwa vile wameumudu???
bora ujivue gamba na umpigie kampeni dadako.....
nimekuteua rasmi kuwa kampeni meneja.......
si inaruhusiwa ladyfurahia?
asante sana mdogo wangu...nakupigia kura mwanzo mwisho.............
Mimi kura yangu nilishaga kupigia mbona, tena kama unakukmbuka mimi ni wapiga kura wa mwanzoni kabisa. Unajua sikuwepo kwani tayari top 3 au bado wanatafutwa top 20.Mimi nitaongoza kundi langu kuimba kwaya kama nilivyosema hapo mwanzo....
mimi nitaimba sauti ya kwanza na nikisaidiana na Elizabeth Dominic
sauti ya pili ni snowhite, Ablessed na cacico
sauti ya tatu Kaizer tafuta wa kukusaidia hapo
bass ni babu Asprin..... nawe tafuta msaidizi
NB: anayetaka kujiunga kwenye sauti yoyote anakaribishwa sana
wimbo wetu huu hapa
Heee kwani umeshatolewa rafiki. Mbona ulikua unaongoza imekuaje tenanakupigia kura mwanzo mwisho.............
mdogo wangu Heaven on earth amejivua gamba ili ampigie kampeni dadake mie.......Heee kwani umeshatolewa rafiki. Mbona ulikua unaongoza imekuaje tena
Sasa mbona unawapendekeza wapiga kura . Hapana haiwezekani hili shindano haliko fair kabisa. Majaji hebu njooni muone washiriki wanavyofanya huku.Duu!kura yangu kwa washiri wote wa chitchat Chimbuvu, Mamndenyi, sweetlady, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, FirstLady, WiseLady, stevoh, Mtambuzi, Arushaone, Mr Rocky, Donn, Preta, Fixed Point, Smile, amu, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Heaven on earth, heaven on desert, Kipaji Halisi, Himidini, Mwita Maranya, Madame B, madame x, AshaDii, @gfsonwin, Lady Unbreakable, mamamia, grafani II, ogopa
ha haaa, wanasemaga damu ni nzito kuliko damu nyingine mdogo wangu, shauriyo!
Heee kwani umeshatolewa rafiki. Mbona ulikua unaongoza imekuaje tena
Mimi nilijua ikitokea mmechukua nafac zote tutakua tumepata bonge la ushindi yaani mshinde wewe na snowhite Heaven on earth mbona ingekua raha.mdogo wangu Heaven on earth amejivua gamba ili ampigie kampeni dadake mie.......
mwaka huu nisiposhinda mbona nitaandamana!
Nilitaka tuchukue nafac zoteNimempisha njia na kumuacha dada angu Fixed Point kikibwa taji linabaki kwa familia tu........
mdogo wangu Heaven on earth amejivua gamba ili ampigie kampeni dadake mie.......
mwaka huu nisiposhinda mbona nitaandamana!
Nilitaka tuchukue nafac zote
Mimi nilijua ikitokea mmechukua nafac zote tutakua tumepata bonge la ushindi yaani mshinde wewe na snowhite Heaven on earth mbona ingekua raha.
Mbona kawahi hivyo.........inabidi umchoshe bana au jana .................
Mimi nitaongoza kundi langu kuimba kwaya kama nilivyosema hapo mwanzo....
mimi nitaimba sauti ya kwanza na nikisaidiana na Elizabeth Dominic
sauti ya pili ni snowhite, Ablessed na cacico
sauti ya tatu Kaizer tafuta wa kukusaidia hapo
bass ni babu Asprin..... nawe tafuta msaidizi
NB: anayetaka kujiunga kwenye sauti yoyote anakaribishwa sana
wimbo wetu huu hapa
Hilo neno ni msamiati mpya hapa cc
hivyo ndo linaingizwa kwenye kamusi ya Kiswahili
na mtaalamu anayeangalia spelling n Asprin ngoja aje
Habari njema kwako mkaka umekuwa mshindi kule MKOA WA SIASA (SIHASA)
umepata alama 5320 kati ya 71020 na umeingia katika
droo la kumsaka msanii bora wa TOP5 WA cc music award 2013 na anayefuatia ni chankaka ila naona amenyamaza kimya
nami ntakuwa sauti ya tatu kwenye hiyo kwaya.....lazima tushinde ....Mimi nitaongoza kundi langu kuimba kwaya kama nilivyosema hapo mwanzo....
mimi nitaimba sauti ya kwanza na nikisaidiana na Elizabeth Dominic
sauti ya pili ni snowhite, Ablessed na cacico
sauti ya tatu Kaizer tafuta wa kukusaidia hapo
bass ni babu Asprin..... nawe tafuta msaidizi
NB: anayetaka kujiunga kwenye sauti yoyote anakaribishwa sana
wimbo wetu huu hapa