ha haa, rafiki hii ni kampeni?
mimi nina wadogo zangu humu wakitokea sijui utapita wapi..... KOKUTONA, Chocs, C6 Erickb52, snowhite, cacico, gfsonwin, mwaJ, Kaunga, Asnam, Arabela, Heaven on earth, Young Master, Madame B, amu, Kaizer, Mtambuzi, sister, Ablessed, figganigga, kipipi, Nyamayao, MwanajamiiOne, FirstLady1, Nivea, dada white, shansarie, ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Kongosho, Jiwe Linaloishi. Paloma, Excellent.......yaani nikiendelea hapa ukurasa utajaa
umeona eeehhhh!hahaaa udada nao hapo.........hayo mapesa si ntayafaidi tu direct au indirect
asante sana mdogo wangu, huo ni uzalendo haswaaaaNimempisha njia na kumuacha dada angu Fixed Point kikibwa taji linabaki kwa familia tu........
ingekuwa vizuri sana, ila sasa tumeona tuunganishe nguvu, lol!Mimi nilijua ikitokea mmechukua nafac zote tutakua tumepata bonge la ushindi yaani mshinde wewe na snowhite Heaven on earth mbona ingekua raha.
hii naona ameshaiona, pamoja na wenzie woteLazima ushinde na ladyfurahia naomba upate taarifa
kuwa mi ndo campaign manager wa Fixed Point......
umeona sasa nilisahau mcheza kinanda.... afadhali umekumbusha hilo.Fixed Point mi nitacheza kinanda.....
sawa mdogo wangu...nami ntakuwa sauti ya tatu kwenye hiyo kwaya.....lazima tushinde ....
shukrani mdogo wangu mpenziPamoja sana dada yetu mpenzi.
barikiwa sana mdogo wangu kipenziKura yangu kwa dada Fixed Point
Basi poa mdogo wangu aah typing error namaanisha twin. Mpambano huu lazima tushinde haiwezekani naona hata BAK ameamua kukuunga mkono . Sasa Heaven on earth changamka mdogo wangu usilale mpaka kieleweke chezea kombe wewe.ingekuwa vizuri sana, ila sasa tumeona tuunganishe nguvu, lol!
ha haaaa, unanitania dada mkubwa!Basi poa mdogo wangu aah typing error namaanisha twin. Mpambano huu lazima tushinde haiwezekani naona hata BAK ameamua kukuunga mkono . Sasa Heaven on earth changamka mdogo wangu usilale mpaka kieleweke chezea kombe wewe.
Binam wala usipate tabu ya kutoa bakshishi... kura yangu umepata.
Mzima lakini binam? majukum yamebana kweli mpaka naonekana kwa kubip utafikiri indiketa ya boda boda
Hivi muda wa kufunga bado tu,
Walau niambulie hata hiyo namba mbili.
Basi poa mdogo wangu aah typing error namaanisha twin. Mpambano huu lazima tushinde haiwezekani naona hata BAK ameamua kukuunga mkono . Sasa Heaven on earth changamka mdogo wangu usilale mpaka kieleweke chezea kombe wewe.
ha haaaa, unanitania dada mkubwa!
shauriyo......
huyu BAK hata sijamsikia, sasa sijui yupo kambi gani? akuje kutuambia hapa.
Huyo mdogo wangu Heaven on earth namuaminia sana..... ushindi hapa ni lazima
Duu!kura yangu kwa washiri wote wa chitchat Chimbuvu, Mamndenyi, sweetlady, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, FirstLady, WiseLady, stevoh, Mtambuzi, Arushaone, Mr Rocky, Donn, Preta, Fixed Point, Smile, amu, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Heaven on earth, heaven on desert, Kipaji Halisi, Himidini, Mwita Maranya, Madame B, madame x, AshaDii, @gfsonwin, Lady Unbreakable, mamamia, grafani II, ogopa
Hivi muda wa kufunga bado tu,
Walau niambulie hata hiyo namba mbili.