ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #261
sasa mbona unawapendekeza wapiga kura . Hapana haiwezekani hili shindano haliko fair kabisa. Majaji hebu njooni muone washiriki wanavyofanya huku.
si umeona hadi Mamndenyi keshanyanyua mikono mapema..........
hii ikimaanisha my dada Fixed Point ni mshindi aliyebakia............
unajua kuwa mimi na Mamndenyi ni marafiki sana?duh Mamndenyi mbona umekubali kushindwa haraka hivyo.............
sasa inakuwa ile ya kupiga kura mtu na kivuli cha mtu........enzi za Nyerere
shukrani mdogo wangu mpenzi
Nimempisha njia na kumuacha dada angu Fixed Point kikibwa taji linabaki kwa familia tu........
ha haaaa, unanitania dada mkubwa!
shauriyo......
huyu BAK hata sijamsikia, sasa sijui yupo kambi gani? akuje kutuambia hapa.
Huyo mdogo wangu Heaven on earth namuaminia sana..... ushindi hapa ni lazima
barikiwa sana mdogo wangu kipenzi
asante sana mdogo wangu, huo ni uzalendo haswaaaa
Kumbuka wewe ulikuwa unaongoza sasa umeshika nafasi ya top3 sijui kwanini umezimia moyo
jitahidi uenda ukaiubuka kidedea
asante kwa kura rafiki....Nimechungulia kura na kuona unaongoza kwa idadi kubwa sana 🙂🙂 kura yangu nimekupa weye 🙂 hivyo kaa mkao wa kula tayari kusherehekea ushindi wako wa Tsunami. Party la nguvu sana ila nina wasiwasi matokeo yanaweza kuchakachuliwa maana niliwaona akina nanihii 🙂🙂 mgombea wao katupwa vibaya sana 🙂 nyuso zilikuwa zimewashuka 🙂 kama hakuna uchakachuaji mshindi ni wewe 🙂🙂
barikiwa sana mdogo wangu kipenzijitihada zangu zooote nimezielekeza kwa dada yangu......
ila bora nimefika hata top 3 mie...........
barikiwa sana mdogo wangu kipenzi
ladyfurahia shindano linafungwa saa ngapi.......na kisha tusherehekeee.........unajua kuwa mimi na Mamndenyi ni marafiki sana?
hapa walikuwa wanatukwaza tu. maana kwa hakika nisingekuwa kwenye mpambano basi angepata kura yangu.
Asante sana mdogo wangu, yaani kusikia wewe ni kampeni meneja tu watu wananyosha mikono, kweli wewe chiboko
hiyo kazi jana nilimwachia jaji Paloma atangaze yule
aliyevuka alama 5 hapa cc hivyo ngoja aje amtangaze
yule aliyepata alama za juu kwa jana halafu ijumaa
tutatangaza mshindi aliyeingia TOP5 Kisha jmosi
atakayeingia 3 bora halafu hao ndo watashindanishwa
ana apatikane yule kinara wa CC MUSIC AWARD 2013
WA CC JE MPAKA HAPO UMENIELEWA?
mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
Paloma bedi resti again..............mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
ladyfurahia shindano linafungwa saa ngapi.......na kisha tusherehekeee.........
kumbe una shosti mzuri kaamua kujisacrifse kwasababu yako........
mmmh! kumbe process bado hivi?yanaendelea kesho ndo mwisho wa kumtafuta mshindi kisha tutatangaza washindi walioingia TOP3 kila mkoa na KISHA tutamfyatua mshindi wetu wa cc music award ambaye atakwenda UJERUMANI kuwakilisha nchi yetu
endelea kumpigia kura sista yako