Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

shansarie mkwe usijali
mashindano ndivyo yalivyo
wakati mwingine ni lazima utashinda
nitaongea na Chimbuvu akupe mafunzo ya kuimba noten mapema.

 
Last edited by a moderator:
1. Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu, Tanzania,
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wewe
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!


2. Tanzania! Tanzania!
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu hakika

Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!


3. Tanzania! Tanzania!
Karibu wasio kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Mpigane kiume chema wee.
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!


4. Tanzania! Tanzania!
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena
Na wageni wakukimbilia
Ngome yako imara kweli wee.
Tanzania! Tanzania!
Mola awe nawe daima.
 

Attachments

Majaji mmesahau ule mkoa wa Shikamoo Jazz (Wakikubwa).

Hata hivyo kwa heshima na taadhima, naombeni kura zenu.
 

Tunatii maagizo ya Mwenyezi Mungu ladyfurahia.. Tuzae ili tuiongeze dunia..
 
Last edited by a moderator:
Mratibu ladyfurahia,
Hii ni ijumaa tunakaribia kwenda
shamba kulijenga Taifa.

Tafadhali weka mwelekeo wa shindano ubaoni.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…