ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #321
Mratibu ladyfurahia,
Hii ni ijumaa tunakaribia kwenda
shamba kulijenga Taifa.
Tafadhali weka mwelekeo wa shindano ubaoni.
ina maana uko hivi tena View attachment 111574shem sosoliso mambo gani tena haya
mwenzio hapumui juzikati kafyatua matwins leo tena hivi ndo niini upangi uzazi wa mpango jamani
acha kumfanyia mwenzio hivyo bana mpaka anakosa kufanya kazi ya ke kama JAJI. Umenilostisha shem!
Mr Rocky issue gani tena naomba unikumbushe!!!!!!!!!!!!!!Shindano limekwisha grafani11 sisi tujirudie tuu nyumbani na magitaa yetu bana
Halafu Heaven on earth Mbona ile issue yangu uliichinjia baharini
Hata mimi simuelewi siku hizi.
sasa hapa mwendesha shindano unatupa mtihani......HAYA NI MATOKEO YA WASHINDI WA TUZO YA CC MUSIC - 2013
Wasanii waliofuzu kuingia TOP5 wafuatao:
1. Fixed Point
2. BAK
3. Mamndenyi
4. shansarie
5. MziziMkavu
sasa hapa mwendesha shindano unatupa mtihani......
tutapigianaje kura hapa?
kampeni meneja wangu Heaven on earth upo? umeona kazi hapa?
mwenzako niko bedi resti..........mpe teua jaji mwingine anishikie
sasa hapa mwendesha shindano unatupa mtihani......
tutapigianaje kura hapa?
kampeni meneja wangu Heaven on earth upo? umeona kazi hapa?
ha haaa, Mvuto kwanza, lol!* Tunaangalia idadi ya kura alivyopata mshiriki
* Tunaangalia alivyojituma jukwaani na kuleta japo verse 1 ya songi lake
* Tunaangalia displine aliyonayo mshiriki na anavyoweza kuwashirikisha marafiki na wenzake hapa hotelini
* Tunaangalia jinsi anavyoweza kuwashawishi wenzake na kuwa mtu mwenye staha hata kama anaona ushindi haupo kwake
* Na kikubwa zaidi tunaangalia MVUTO WAKE mshiriki je analipa tukiimuingiza sokoni au ni magumashi
HAYA NI MATOKEO YA WASHINDI WA TUZO YA CC MUSIC - 2013
Wasanii waliofuzu kuingia TOP5 wafuatao:
1. Fixed Point
2. BAK
3. Mamndenyi
4. shansarie
5. MziziMkavu
Muulize grafani11 anaijua bana
Nyie mmenichunia siku hizi ndo maana na mimi nanyamaza kimya kabisa
Yaani Heaven on earth wacha tuu tumebeba magitaa na vinanda eti hata Top ten hatupo mi Nahisi rushwa yangu binamu Paloma kaingia nayo mitini na ladyfurahia kachakachua kura zangu hapo
mimi nitakuwa jaji kwa nafasi yako!! haya mpambano unaendelea