Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

hivi nitoe singo yangu ama ful albam maana nilikua kwenye semina jangwani hivyo sikupata muda wa kushiriki na nimejiona niko nominated..naomba mwongozoo
yaani shindano limeshafika tano bora.....
kwa hiyo nipigie kura mimi tu
 
Last edited by a moderator:
Pole bestito umeshachelewa kwani tumeshawatangaza washindi TOP5 hivyo labda wapigie kura wapatikane TOP3 bora mchana huu na jioni atatangazwa mshindi
hivi nitoe singo yangu ama ful albam maana nilikua kwenye semina jangwani hivyo sikupata muda wa kushiriki na nimejiona niko nominated..naomba mwongozoo
 
sasa hapa mwendesha shindano unatupa mtihani......
tutapigianaje kura hapa?
kampeni meneja wangu Heaven on earth upo? umeona kazi hapa?

HAlafu huyu Ladyfyrahia huyu anatuchanganya ujue..........

kazi ipo lakin lazima kieleweke tu.........mtanange ni mgum sana
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, hapa mimi nasubiri kampeni meneja wangu Heaven on earth aniombee kura kwa wana-team woooteeeee
#teammvutokwanza

hahaa
wafuatao kura zenu
figganigga
grafani11
Munkari
Mokoyo
Kaizer uje na mkeo hapa
DEMBA umkumbushe sugar dady wako mumpigie kura dada angu
kiwatengu huyu najua atakua upande wa wife
vivian tuweke tofauti setu kando
ladydoctor najua huwezi kuniangusha wii wangu
mwekundu sa hivi uko poa viagra inafanya kazi
Mshinga leo njoo chitchat mpigie dada angu kura
Mrembo by Nature ukiruhusuwa kwenda mjini usisahau kupiga kura

hao ni wachache my dada Fixed Point lisu inaongezeka
 
Last edited by a moderator:
Mbona malkia wangu unanichanganya sasa, wewe pia umo kwenye kinyang'anyiro sasa nimpigie yupi?
 

mmhh mi ujaji utanishinda binamu yangu yumo kwenye ushindani ukinipa ujaji siwezi kumwangusha ili haki itendeke kikombe hicho na kiniepuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…