hahaa
wafuatao kura zenu
figganigga
grafani11
Munkari
Mokoyo
Kaizer uje na mkeo hapa
DEMBA umkumbushe sugar dady wako mumpigie kura dada angu
kiwatengu huyu najua atakua upande wa wife
vivian tuweke tofauti setu kando
ladydoctor najua huwezi kuniangusha wii wangu
mwekundu sa hivi uko poa viagra inafanya kazi
Mshinga leo njoo chitchat mpigie dada angu kura
Mrembo by Nature ukiruhusuwa kwenda mjini usisahau kupiga kura
hao ni wachache my dada Fixed Point lisu inaongezeka

wii mbona kura yangu iko wazi kama ya mbuzi, hebu ihesabuni
MATOKEO YA DAKIKA YA MWISHO CC MUSIC AWARD 2013
Katibu wa kamati hii ya mashindano mr. Bujibuji amefanya kazi ngumu sana jana
usiku na ndo maana tumeweza kuwapata TOP5
NA SASA TUNATANGAZA WASHINDI TOP3 WA CC MUSIC AWARD 2013
ambao ni ni niiiii niiii niiiiiiiiii ..................daa!!! jamani ulimi unatereza
kuwataja nashikwa na kigugumizi hebu shem sosoliso watangaze
wewe maana naogopa msijenirushia mawe na kuniletea majanga
washiriki wamepigwa butwaa la nguvu na naona nyuso zao
zimejaa mshangao na wengine wameshindwa kuvumilia
wengine wanalia wengine wanacheka, wengine wako kimya
wengine wamekaa yaani full majanga na vituko kwa kwenda
mbele laiti hadhira mngeona juma ya jukwaa kukoje mngesha
ngaa wenyewe hebu niwaoneshe japo kidogo mjionee vituko
KABLA SIJATAANGAZA WASHINDI WA TOP3 WA CC
JIONEENI VITUKO MCHEKE KWA RAHA ZENU
View attachment 111664 View attachment 111665 View attachment 111666 View attachment 111667
sasa huyu ndo alivaa kifani kabisa yaani amekomalia ushindi mwone:
View attachment 111668 tisa kumi ona hapa View attachment 111669 wadada hawataki mchezo
MATOKEA YANAANZA KUTOLEWA HAPA
Acha tuwatangaze hao washindi waliofuzu kuingia TOP3 ambao wana mvuto wa
kipekee mjengoni hapa na ambao kwa kweli wamejitahidi kadri ya uwezo wao
mr. Bujibuji na mr sosoliso na chief jaji ladyfurahia hatukupata hata lepe
la usingizi kwani tumekesha sana jana kuamkia leo kumsaka mshindi wa cc music
award 2013 hivyo msituhakimu bure kwani hatujapokea takrima ya mtu yeyote
kule pm wala hatujakuwa na kiroho papo kwani tuangalia idadi ya kura, displine ya
kila mshiriki na tumeangalia wenye MVUTO WA KIPEKEE ambaye/ ambao tukiwapeleka
sokoni watauza na siio CD zetu kugoma goma, hata nyie washabiki mtakubaliana nasi.
Wafuatao ndio waliofuzu kuingia TOP3 bora wa CC MUSIC AWARD - 2013
NAO NI:
1. Mamndenyi
2. Fixed Point
3. BAK
Endeleeni kumpigia kura yule umpendaye kisha jioni tunamtangaza mshindi wa cc music award
karibu MC Arushaone uendelee hapa:A S angry::A S angry:
mi jaji sijaona kura yako. angalia hapa afu upige tena.
shansarie
BAK
Mamndenyi
MziziMkavu an the last but not the least
Fixed Point. pga sasa
ha haaa, ndo kusema kibao kimegeuka?MATOKEO YA DAKIKA YA MWISHO CC MUSIC AWARD 2013
Katibu wa kamati hii ya mashindano mr. Bujibuji amefanya kazi ngumu sana jana
usiku na ndo maana tumeweza kuwapata TOP5
NA SASA TUNATANGAZA WASHINDI TOP3 WA CC MUSIC AWARD 2013
ambao ni ni niiiii niiii niiiiiiiiii ..................daa!!! jamani ulimi unatereza
kuwataja nashikwa na kigugumizi hebu shem sosoliso watangaze
wewe maana naogopa msijenirushia mawe na kuniletea majanga
washiriki wamepigwa butwaa la nguvu na naona nyuso zao
zimejaa mshangao na wengine wameshindwa kuvumilia
wengine wanalia wengine wanacheka, wengine wako kimya
wengine wamekaa yaani full majanga na vituko kwa kwenda
mbele laiti hadhira mngeona juma ya jukwaa kukoje mngesha
ngaa wenyewe hebu niwaoneshe japo kidogo mjionee vituko
KABLA SIJATAANGAZA WASHINDI WA TOP3 WA CC
JIONEENI VITUKO MCHEKE KWA RAHA ZENU
View attachment 111664 View attachment 111665 View attachment 111666 View attachment 111667
sasa huyu ndo alivaa kifani kabisa yaani amekomalia ushindi mwone:
View attachment 111668 tisa kumi ona hapa View attachment 111669 wadada hawataki mchezo
MATOKEA YANAANZA KUTOLEWA HAPA
Acha tuwatangaze hao washindi waliofuzu kuingia TOP3 ambao wana mvuto wa
kipekee mjengoni hapa na ambao kwa kweli wamejitahidi kadri ya uwezo wao
mr. Bujibuji na mr sosoliso na chief jaji ladyfurahia hatukupata hata lepe
la usingizi kwani tumekesha sana jana kuamkia leo kumsaka mshindi wa cc music
award 2013 hivyo msituhakimu bure kwani hatujapokea takrima ya mtu yeyote
kule pm wala hatujakuwa na kiroho papo kwani tuangalia idadi ya kura, displine ya
kila mshiriki na tumeangalia wenye MVUTO WA KIPEKEE ambaye/ ambao tukiwapeleka
sokoni watauza na siio CD zetu kugoma goma, hata nyie washabiki mtakubaliana nasi.
Wafuatao ndio waliofuzu kuingia TOP3 bora wa CC MUSIC AWARD - 2013
NAO NI:
1. Mamndenyi
2. Fixed Point
3. BAK
Endeleeni kumpigia kura yule umpendaye kisha jioni tunamtangaza mshindi wa cc music award
karibu MC Arushaone uendelee hapa:A S angry::A S angry:
mi nahisi majaji kuna kura hawazihesabu, lol!hujajua kampigia Fixed Point
wewe Heaven on earth ni Jaji halafu unapiga kampeni tena?
nimeshakichukua mimi na kazi naimudu vyema. naendelea sasa!
mi nahisi majaji kuna kura hawazihesabu, lol!
Kura yangu ina masharti kwa aitakae Mamndenyi..
hujajua kampigia Fixed Point
we ladyfurahia naomba utambue uwepo wa jaji mimi kwa nafasi ya Paloma, kaniridhia yeye mwenyewe! naomba protocal izingatiwe kwa ukaribu tusifanye mchuano kurudi nyuma. nipo nahesabu kura kwa ujirani kabisa usitangaze kabisa bila jaji mimi kuconferm
umeona eeehhh!
bora umemwambia maana nilikuwa nashangaa tu......mi sio jaji bana......we piga tu kura kwa Fixed Point mengine niachie mwenyewe
wewe jaji wewe naomba uihesabu kura ya lady doctor nadhani unajua ninaempigia
kampeni hum ndani